Makada wa CCM. Chama chenu hakitawali hii nchi. AMKENI!!

Makada wa CCM. Chama chenu hakitawali hii nchi. AMKENI!!

Na ujinga wa Wanachama na Wafuasi ndio mtaji wa CCM kuendelea kusalia madarakani.
Sasa unataka wanachama wa ccm ndio wawatoe ccm madarakani hivi unaakili timamu kweli yaani wao wenyewe wajitoe madarakani
 

Sasa unataka wanachama wa ccm ndio wawatoe ccm madarakani hivi unaakili timamu kweli yaani wao wenyewe wajitoe madarakani

Sasa unataka wanachama wa ccm ndio wawatoe ccm madarakani hivi unaakili timamu kweli yaani wao wenyewe wajitoe madarakani
Hapana, nataka Makada wao waendelee kuwa Wajinga ili CCM iendelee kutawala.
 
Hapana, nataka Makada wao waendelee kuwa Wajinga ili CCM iendelee kutawala.
Sasa ccm ikitawala si ndio wao wanafaidiaka wanakuwaje wajinga wakati wanapata kula hivi unaakili timamu kweli
 
Kama itawapendeza nawaomba viongozi wa Dini zote, badala ya kufanya Dua/maombi ya kuliombea Taifa na viongozi wake, wafanye Dua/maombi maalumu ya kitaifa ya kuomba kuzifungua aliki za Watanganyika ili mapepo na majinamizi ya uccm yawatoke na akili ziwafunguke kutoka kwenye fikra za uccm hapa tunaweza tutaliponya Taifa la Tanganyika.
 
Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala".

Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru wa maoni ni jambo la kawaida.

CCM, ebu jiulizeni. Je, katika sheria na kanuni za chama chenu; kuna chochote kati ya hivyo kinaruhusu UTEKAJI?, Ukamataji holela wa Wapinzani? Kubambikizia kesi? Ufilisi wa Watu kwa sababu ya Itikadi zao? KAMA HAKUNA! nani ndani ya CHAMA au Serikali (Mliyoiunda) amawajibishwa?

  1. Upi msimamo wa chama kuhusu yanayoendelea tangu mwaka 2016? Je, chama kimewahi kutoa official release yoyote kuhusu mwenendo wa kisiasa?
  2. kwenye Chama chenu kuna yeyote aliyewahi kuwajibishwa kuhusu mwenendo MBOVU wa kisiasa kwenye serikali? Je ni kweli mna uwezo kama chama wa kuiwajibisha Serikali?
  3. Waziri (hususan wa Mambo ya Ndani) amewahi kumuwajibisha Afisa yeyote wa ngazi ya juu wa Jeshi kwa sababu ya Utekaji na Mauwaji yanayoendelea?
  4. Mmewahi kusikia kujiuzulu kwa kiongozi yeyote wa Kisiasa, JESHI au kiongozi wa juu wa chama kwa haya yanayoendelea?
SASA KAMA HAYO YOTE NI HAPANA!! MNAUNDA SERIKALI GANI? MNAONGOZA NCHI GANI?

Mnashika mabango kunadi mgombea wakati chama chenu kimetekwa? Yaani leo POLEPOLE anatoa shutuma kuhusu Chama chenu mnashindwa kumuwajibisha kiongozi yeyote wa Chama au Serikali, mnabaki mnasifia wagombea ambao wakipanda pale wanafuata maelekezo ya KIKUNDI? (MTANDAO). Sasa chama chenu kinaunda Serikali gani ambayo ninyi mnashindwa kuiwajibisha?

GUYS! HAKUNA SERIKALI MNAYOUNDA, NA NINYI SI CHAMA TAWALA. WAPO WATAWALA, NA HAWANA UHUSIANO NA CHAMA CHENU AND THERE IS NOTHING YOU CAN DO KAMA NJAA NA UJINGA NDIVYO VINAVYOWAONGOZA.
Really true
 
Back
Top Bottom