Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

Hizi ni west prototype media propaganda zinazokuwa chanzo cha vita kutimiza motives zao? Beware!
 
Tumerudi tena nyuma baada ya kujenga pale tulipobomoa sasa tunaangusha ukuta tena.Hii itakuwa hatari sana.Sasa itafuata nini kwa watanzania ambao wapo Rwanda?sio watasema wamewakamata makachero wa Tanzania Kigali?.ebu tuwe makini tuangalie vitu muhimu na tujenge urafiki.Sisi sote ni ndugu.Kama ni kweli sawa ,lakini kama ni sinema ya kihindi kama wavyomfanyia Lwakatare basi itakuja kuwa aibu sana kwa Tanzania.
 
Makechero wakakachero nini ktk nch iliyojaa uchuro km hi?au wamekuja kukachero katiba yetu?acheni hzo uchuro kw kagame.
khaa! CDM bana wako tayari kuloose everything ili mradi waingie magogoni. RIP!!
 
Rais Kagame wala hahitaji kuleta makachero kutoka Rwanda.

Makachero wa Kagame wako Tanzania kwa miaka mingi na wanaendelea kuishi na kuzaliana nchini kama "raia wema".

Makachero wa Rais Kagame kama alivyo Rais Kagame mwenyewe, mmewasomesha kwa pesa zenu katika shule mbali mbali nchini na nchi za nje na pia mnawalipa mishahara kwa kufanya kazi ya ukachero wa Kagame mpaka sasa pesa zenu.

Makachero wa Rais Kagame wengine ndiyo walinzi wa makabrasha ya siri za nchi na viongozi wake.

Kwa ujumla wake, Watulsi ni kama Wayahudi. Hata uwape nini hawawezi kuacha kupigania Utulsi wao kwa ujumla mpaka kifo.

Kauli mbiu yao, Utulsi kwanza, Taifa baadaye.
 
Nani mbuzi ...tena anajaribu Ku..
...? Surveillance detection.
.back ground observation technique ...
Kagame unajaribu good start ...ila bado hujakomaa kiintelijensia utaja jichanganya one day ogopa Tanzania ogopa bongo is most powerfully kuliko unavyodhani
 
Wanajua Udhaifu wa viongozi wetu..Yani Ma.laya hakuna mfano...balaaa..Ngololo kwa kwenda mbele..

Ndio maana mashindano kama BBA tunafanya vizuri kila mwaka..

Viongozi zingatieni Maadili pamoja na kuweka Uzalendo mbele..Kila kitu kitakuwa sawa..Hawa majirani hawaaminiki kabisa..
 
Tumerudi tena nyuma baada ya kujenga pale tulipobomoa sasa tunaangusha ukuta tena.Hii itakuwa hatari sana.Sasa itafuata nini kwa watanzania ambao wapo Rwanda?sio watasema wamewakamata makachero wa Tanzania Kigali?.ebu tuwe makini tuangalie vitu muhimu na tujenge urafiki.Sisi sote ni ndugu.Kama ni kweli sawa ,lakini kama ni sinema ya kihindi kama wavyomfanyia Lwakatare basi itakuja kuwa aibu sana kwa Tanzania.

Huna akili,totally..
 
Kagame asipoangalia na kuendekeza upuuzi wake wa kujihami na madaraka atafanya raia wema wa kitanzania wenye asili ya ki-tutsi ambao wapo serikalini au kwenye mashirika ya umma kutoaminiwa na kuanza kubaguliwa.

Matokeo yake ni hawa raia kunyimwa nafasi za kusogea juu na kutimiza ndoto zao au kuwa karibu na sentive issues za taifa as self defence ya serikali na usalama wa taifa, hizi spying antics hazina faida kwa raia wa kinyarwanda, ustawi wa rwanda and tanzania aina interest ya kuingilia siasa za rwanda at heart in terms of picking sides thus far kutokana na kauli za viongozi wetu hadharani.

It is all in megalomaniac Kagame's head people are trying to interfere with Rwanda's internal politics, inabidi sasa aangalie ustawi wa Rwanda na population yao in 50 years utakuaje na kuanza kutengeneza marafiki na trust baina ya majirani zake kushinda uadui au kuwekewa nadharia ya kutoaminiwa si tu yeye bali na baadhi ya watu wenye asili yake kwa ujinga anaokazana nao.
 
Kamanda chama changu kinaitwa tanzania. Sifukuzwi wala sihojiwi ktk kikao chochote. Vyama vitapita, tanzania itabaki!

Lakini kumbuka siasa za dunia tunayoishi zinahitaji vyama vya siasa na Tanzania kitwa Tanzania iliunganishwa na wanasiasa kupitia vyama vya siasa. Hata kumtafuta Mungu kuna vyama vya kitume na kama unadhani ukiwa ndani ya chama kiitwacho Tanzania hautahojiwa iba chama hicho kitakuhoji kupitia kitengo chake kiitwacho mahakama. Ila all in usariti ni mbaya mkuu hata ungekuwa mwanachama wa familia yako ukisariti utahojiwa tu, na pia kwanini hukuyasema haya kabla ya kukunasa na wenzako na yule mshirikina wa kigoma na usariti wenu!! Mungu atupe uhai Hitoria itawakumbukeni.
 
Upu.uzi mtupu,kichwa cha habari na habari yenyewe vitu viwili tofauti. Nimekwenda kununua hilo gazeti jion hii niliyokutana nayo ni usanii mtupu.yaani ni style ya magazeti ya Udaku.
 
bdoo wapo wengi sanaa wadauuu mbona wengine tupo nao kitaa hukuu wengine wameshika mashamba na wengine ni maprofessor na waalimu wea vyuo vikuu hapahapa tz.
 
Kamanda chama changu kinaitwa tanzania. Sifukuzwi wala sihojiwi ktk kikao chochote. Vyama vitapita, tanzania itabaki!

Mkuu uandishi gani huu wa habari mnaofanya kwenye gazeti lenu?heading inasema 'makachero wa Kagame Mbaroni Dodoma', lakini ukifungua ukurasa wa pili habari hii hardly imeandikwa kwa aya 2 kati ya aya zaidi ya 20 zilizoko under the same heading,na hizo aya 2 zipo tena juu juu bila kuelezea wamekamatwaje,ilikuwaje nk! Kwa kweli huu ni Ukanjanja mnaofanya!
 
Yaani hujakosea kabisa,kweli sina akili totally.wewe umeongea ukweli kabisa.Serikali ya Tanzania ina masaikologisti wazuri sana na wenye akili sana kama huyu somji juma.Tusiwaache wapoteze muda kwenye mitandao ya jamii na kupambana na wasio na wasio na akili kama hapa JF.Tutakuwa hatuwatendei haki kwani ni hazina la taifa.Kwani pia akiwa anashindana na yule hasiye na akili anakuwa amefanana naye,Mimi nisiye na akili nakushauri wewe mwenye akili husipambane na hasiye na akili kwani utafanana naye?.Nasitaki ufanane naye
 
Watz tz ni nchi yetu tuilinde wenyewe

Nchi yako uilinde mwenyewe wewe ni nani? Ebu niambie kama tuna ulinzi wa kutosha waliolipua mabomu pale Kanisani Olasit na Soweto Arusha wamekamatwa? Leo hii mnaangaika na Machangudoa.
 
Makechero wakakachero nini ktk nch iliyojaa uchuro km hi?au wamekuja kukachero katiba yetu?acheni hzo uchuro kw kagame.

Acha upumbavu wee mtoto wa juzi, huko ni kukosa uzalendo kwa nchi yako.Na kwa maneno haya,nakosa imani nawe kuwa ni mmoja wa Watanzania. Jinga wee
 
Mashushushu wa kagame wamekamatwa kama kuku krismas huko dodoma tanzania baada ya kujifanya ni machangudoa kumbe wamekuja kufanya upelelezi. Niliweka uzi huu humu jf kuwa mashushushu wa kagame wametinga dodoma na jf ikajulisha gvt sasa wametiwa mbaroni wanne. Pia naijulisha tena pale karagwe kumejaa mashushushu wa kagame na serikali yangu naiamini itawashughulikia.
 
Kwa kujiridhisha soma gazeti jamhuri upate uhondo kamili
 
Back
Top Bottom