Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

Mashushu wanawake toka Rwanda kukamatwa Dodoma, hiyo si kweli leo foolish day
Kumbuka Rwanda ushushu uko juu sana wanaingia hadi Afrika kusini kutekeleza malengo Yao,
Kuingia S.A sio kigezo cha kuwa juu kwa ushusu coz' wapinzani wa Kagame si kwamba wanaishi mafichoni kule S.A. Yo don't need a good spy to assassinate someone you know where s/he is(living); all you need is just a good sniper...you'll need a good/best spy only if the target's location/residence is anonymous.
 
huu ni upuzi tuu kutuhamisha kwenye katiba na kutupeleka sehemu nyingine. fungukeni jama hawa ccm ni wajanja sana
 
kaka we ni noma na umetia fola unadanganya mpaka nchi inatikisika du umetumia vizuri siku yawajinga hongela sanaa!
 
Kwani huyu Pol Kamchezo anataka nini Tz? Hatuna vita na hatutarajii kuwa na vita na yeye makachero wa nini?
 
Eti TISS wapo fit? Hahaha labda kwa intelligence ya kuwabana CUF na CDM..Katika usalama wa nchi TISS wameshuka sana..mpaka Twiga anapandishwa ndege unasema Kuna TISS? Tembo wote wanaisha unasema kuna TISS..watu aanasafirisha dhahabu almasi nad Tanzanite nje bila serikali kupata kipato kuna TISS? Madawa wa kulevya yamesambaa tanzania utafikiri tupo Colombia ama Mexico kuna TISS? Watu wang'olewa meno kutobolewa macho bila wahusika kupatikana kuna TISS? Watu wanaiba hela za nchi wanaficha nje ya nchi kiasi cha kutisha tuna TISS? Mali za selikali zinaibiwa wazi wazi tuna TISS? Basi kama TISS haifanyi yote hayo kazi yao ni nini?
 
kaka una uchungu kama vile uko kliniki tulia kijana hii nchi ina wenyewe
 
Sasa kama ni uhusiano,hata wa kimapenzi kuna kosa gani kuwa na uhusiano kati ya mRwanda na mTanzania?Acheni wivu! Tuambie wamekamatwa na nini,hizi habari zingine za kizushi,na uchochezi mtupu,wale ni ndugu zetu,weusi tii kama sisi hapa.Watuchunguzie nini?
 
Kagame is Pathetic killer and hopeless ... Deserve the-punishment @@@@ Mabwe PANDE!!
 
Watu mnambogopa Kagame? Kagame he i just a kid.hatuna tatizo nchi kuwa na spie wanakotaka. Hata sisi vijana wetu wapo kila mahala. Ajali kazini tu mabraza!!! Hii sio habari bali ni sehemu ya habri.

The king.
 
Kachero anapomkachero kachero mwenzake... shoti lazima itokee...
 
First rule of being a spy:dont get caught
2 rule : if you get caught dont talk.(keep your mouth shut)
 
Daah!!Dodoma Kuna nini mpaka haya mambo yanatokea hii inaonyesha ni jinsi gani mambo ya ufusika yanayofanywa na wabunge kipindi cha mapumziko jaman tuache ujinfa tueshimu wake zetu
 
Kachero anapomkachero kachero mwenzake... shoti lazima itokee...

Haa haa Tuko umenifanya nicheke sana. Pia wanao beza sion kama wanatumia mantiki gani kulibeza jambo hili, ila kikuwa ni hakuna jambo liongelewalo ambalo halipo. Kikubwa tuwe na uzalendo na nchi yetu alafu serikali na wakubwa wachache wamechangia sana kuharid vyombo vyetu vya dola kwa maslai yao binafsi na ya kundi dogo la kipapa,
 
Back
Top Bottom