Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

Hawa makachero wetu wangekua makini hivyo kuwakamata majangili tungekua na tembo wengi mpaka wengine tungewatumia kubebea mizigo kama punda
 
Mashushushu wanawake wanne raia wa Rwanda wanaoaminika kutumwa na Rais Paul Kagame wamekamatwa mjini Dodoma. Wamekamatwa wakiwa wameshajenga uhusiano wa karibu na baadhi ya viongozi waandamizi pamoja na wajumbe wa Bunge la Katiba. Pamoja nao Rwanda inadaiwa kuingiza makachero wengine wengi ili waungane na wakimbizi wa Kitutsi walioingia hapa nchini katika miaka ya 1958/1959 na mwaka 1994. Habari kutoka vyanzo vya uhakika zinasema wapelelezi wengi wamekuwa wakiingia nchini kupitia Karagwe mkoa wa Kagera, ambako kumeanza kuonekana kama sehemu ya Jamhuri ya Rwanda. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ya Tanzania imethibitisha kukamatwa kwa makachero wanawaeke wanne raia wa Rwanda, wakijifanya ni makahaba, lakini baada ya uchunguzi imebainika pasi na shaka kwamba ni makachero toka Rwanda. Ukahaba unatumika kama moja ya nyezo adhimu katiak shughuli za ukachero. Duru za uchunguzi zimebaini kuwa wanawake hao ni sehemu ya makachero waliotumwa kuichunguza Tanzania, kwa lengo la kulinda maslahi ya Rwanda. Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mathias Chikawe, amethibitisha kukamatwa kwa wanawake hao, lakini amekataa kuingia ktika undani wa suala hilo. Habari ipo kwa kirefu gazeti la Jamhuri.
Kuna nn gazeti la Jamhuri na Rwanda na Issue za Kagame? mbona kila siku ni rwandaaaaa, kagameeeeeee, why?
 
mnataka yatokee kama ya mombasa muanze kulaumu selekali haifanyi kazi?kuna watu wako kwa ajili ya kubeza tu,u can not develop strong mind in that way!truth will remain truth even if no 1 c t.
 
Dodoma kuna nini hadi kufanyike ukachero!....hao kina Mtikila na Mama Rwakatare?

Kweli Mazimwi Niwengi,hivi Unacheza Nakagame,ambaye Kuwepo Kwake Kwenye East Africa,east Africa Imebaki Jina Tu Kaiua,nania Yake Kuua Wanaompinga.Nahis Naww Ni Mtusi.Tunakujua.
 
Mashushu wanawake toka Rwanda kukamatwa Dodoma, hiyo si kweli leo foolish day
Kumbuka Rwanda ushushu uko juu sana wanaingia hadi Afrika kusini kutekeleza malengo Yao,
 
Kweli Mazimwi Niwengi,hivi Unacheza Nakagame,ambaye Kuwepo Kwake Kwenye East Africa,east Africa Imebaki Jina Tu Kaiua,nania Yake Kuua Wanaompinga.Nahis Naww Ni Mtusi.Tunakujua.

kagame hana lolote na hawezi kuitisha tanzania..nyinyi msiojua system ya nchi hii ndio mnapinga kila kitu na kumsifia kagame....
 
Watz tz ni nchi yetu tuilinde wenyewe

Tulia basi tumekusikia, tunachambua sasa juu ya uimara wa nchi yetu.

kutoka povu kwa post nyingi hapa sielewi mantiki yake.

Serikar yetu hii imekusikia.
 
Ngoja kwanza siku ya W.A.P.U.M.B.A.VU ipite halafu nitarudi tena kuicheki hii nyuzi kama itaendelea kuwepo au la!!!
 
kagame hana lolote na hawezi kuitisha tanzania..nyinyi msiojua system ya nchi hii ndio mnapinga kila kitu na kumsifia kagame....

Tuambie basi wewe unayejua system ya Tanzania, eeh kunani kuko systemuni ndugu
 
Makechero wakakachero nini ktk nch iliyojaa uchuro km hi?au wamekuja kukachero katiba yetu?acheni hzo uchuro kw kagame.

violin.gif
Hata ukiwa mgenii leta kitambulishoooo!:violin::bange::msela: Aeeee Aeeeee!

 
Back
Top Bottom