Wananchi wa Africa kusini hawaridhishwi na serkali kuizonga nchi ya Israeli

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,388
Asilimia kubwa ya wananchi wa South Africa wanapinga kitendo cha serikali kujihusisha na migogoro ya israeli na Palestine

Viongozi mbalimbali wa kiraia,kidini wameilamu serikali kwa kutokuzingatia mambo ya muhimu na changamoto zinazoikumba africa kusini na badala inajihusisha na mambo yasiyosaidia wananchi wa South Africa

Rais wa africa kusini yupo kwenye shinikizo kubwa la kuachia kiti chake

Mtakumbuka kuwa uhisiano fake kati ya africa kusini na palestine uliibuka ghafla wakati africa ikiwa kwenye joto la kutafuta uhuru wa kisiasa wa watu weusi

Wakati huo south africa ikiwa na Rais mzungu/kaburu aliwaunga mkono israeli kuishi kwenye nchi ya mababu zao

Hali iliopelekea wapigania uhuru wa South Africa kuunga mkono wahalifu wa palestine

Je nini itakuwa mstakabali wa South Africa na siasa za israeli-palestine?

Makaburu ndio wanamiliki uchumi wa South Africa na bado wanaushawishi mkubwa kwenye siasa za africa kusini

Muda utasema
 
Umeandika mawazo yako ambayo kiundani yaonesha Imani yako na sio fact,
 
Hizo takwimu umezipata wapi? We unadhani wakristo wote wajinga kama nyie mnadhani Israel taifa teule 😄
 
Asilimia kubwa ya wananchi wa South Africa wanapinga kitendo cha serikali kujihusisha na migogoro ya israeli na Palestine

Viongozi mbalimbali wa kiraia,kidini wameilamu serikali kwa kutokuzingatia mambo ya muhimu na changamoto zinazoikumba africa kusini na badala inajihusisha na mambo yasiyosaidia wananchi wa South Africa

Rais wa africa kusini yupo kwenye shinikizo kubwa la kuachia kiti chake

Mtakumbuka kuwa uhisiano fake kati ya africa kusini na palestine uliibuka ghafla wakati africa ikiwa kwenye joto la kutafuta uhuru wa kisiasa wa watu weusi

Wakati huo south africa ikiwa na Rais mzungu/kaburu aliwaunga mkono israeli kuishi kwenye nchi ya mababu zao

Hali iliopelekea wapigania uhuru wa South Africa kuunga mkono wahalifu wa palestine

Je nini itakuwa mstakabali wa South Africa na siasa za israeli-palestine?

Makaburu ndio wanamiliki uchumi wa South Africa na bado wanaushawishi mkubwa kwenye siasa za africa kusini

Muda utasema
Huzijui hata siasa za africa kusini na ungejua wananchi wa africa kusini wanavyowapenda wapalestina kama ndugu zao wa damu hata kwenye status zao kama una marafiki wasouthafrica utaona walivyopongeza na kuwa proud na mawakili wao
 
hapo umedanganya, watanzania ndio nchi iliyojitoa zaidi kuisaida afrika kusini wakati wanapambana na kaburu lakini bado raia wake hawapendwi, sembuse wapalestina.
 
wanjikomba komba kwa waaraab huku wakiwaua waafrika wenzaoo watz tukiwemoo...sauzi hq ya xenophobia duniani kote hajielewi kabisa
 
hapo umedanganya, watanzania ndio nchi iliyojitoa zaidi kuisaida afrika kusini wakati wanapambana na kaburu lakini bado raia wake hawapendwi, sembuse wapalestina.
Hapana mkuu ukiangalia katika raia wanaokubalika africa kusini ni watanzania na mozambique, wanaochukiwa ni nigeria
Imgawa tanzania kuna tatizo kubwa south 90% wanauza unga na kukaba hiyo ndio inaleta shida
Mimi nina marafiki kama wanne southafrica wawili wameshaenda kutembea palestine just out of love , ndio uone wanavyowakubali
Kuna mtanzania anayeweza kwenda kutembea palestine. Ndio maana nakwambia hawa jamaa wana roho tofauti
Juzi wakati case inaendelea icj karibia wasouth wote waliweka status na kuwa proud of their legal team including ramaphosa
 
Ramaphosa tunae sana hizo kelele za chura hazimzui tembo kunywa mma yaaani
Hivi pesa ya kuwalipa wanasheria wanaoendesha kesi kutokea Afrika Kusini zinalipwa na mahakama au serikali ya Afrika Kusini? Naomba kufahamu kwa mwenye uelewa
 
Asilimia kubwa ya wananchi wa South Africa wanapinga kitendo cha serikali kujihusisha na migogoro ya israeli na Palestine

Viongozi mbalimbali wa kiraia,kidini wameilamu serikali kwa kutokuzingatia mambo ya muhimu na changamoto zinazoikumba africa kusini na badala inajihusisha na mambo yasiyosaidia wananchi wa South Africa

Rais wa africa kusini yupo kwenye shinikizo kubwa la kuachia kiti chake

Mtakumbuka kuwa uhisiano fake kati ya africa kusini na palestine uliibuka ghafla wakati africa ikiwa kwenye joto la kutafuta uhuru wa kisiasa wa watu weusi

Wakati huo south africa ikiwa na Rais mzungu/kaburu aliwaunga mkono israeli kuishi kwenye nchi ya mababu zao

Hali iliopelekea wapigania uhuru wa South Africa kuunga mkono wahalifu wa palestine

Je nini itakuwa mstakabali wa South Africa na siasa za israeli-palestine?

Makaburu ndio wanamiliki uchumi wa South Africa na bado wanaushawishi mkubwa kwenye siasa za africa kusini

Muda utasema
Acha Propaganda wa Myahudi wa Uyole fanya kazi Acha majungu
 
Tatizo lipo kwa wakristo wa tanzania tu sijui kwa ninu
Mimi nilisoma na wakristo wengi tu walikuwa si wajinga kama hawa waliopo JF nilikuwa nasumbuwana na wachaga tu.

Wakristo wa kisukuma, wanyamwezi, wanyiramba na wagoni ni watu safi sana.

Wachaga wanataka kujifanya wana undugu na kina Netanyahu 😄
 
BREAKING:

⚡ 🇨🇳 Balozi wa China kwenye Umoja wa Mataifa Zhang Jun:

"Operesheni za kijeshi za Amerika na Uingereza dhidi ya Houthi zimeshindwa"

Operesheni za kijeshi za Marekani na Uingereza dhidi ya walengwa wa Houthi nchini Yemen zilishindwa kufikia malengo yao yaliyotajwa. Baraza la Usalama halijawahi kuidhinisha nchi yoyote kutumia nguvu dhidi ya Yemen.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1746130643082211780?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Asilimia kubwa ya wananchi wa South Africa wanapinga kitendo cha serikali kujihusisha na migogoro ya israeli na Palestine

Viongozi mbalimbali wa kiraia,kidini wameilamu serikali kwa kutokuzingatia mambo ya muhimu na changamoto zinazoikumba africa kusini na badala inajihusisha na mambo yasiyosaidia wananchi wa South Africa

Rais wa africa kusini yupo kwenye shinikizo kubwa la kuachia kiti chake

Mtakumbuka kuwa uhisiano fake kati ya africa kusini na palestine uliibuka ghafla wakati africa ikiwa kwenye joto la kutafuta uhuru wa kisiasa wa watu weusi

Wakati huo south africa ikiwa na Rais mzungu/kaburu aliwaunga mkono israeli kuishi kwenye nchi ya mababu zao

Hali iliopelekea wapigania uhuru wa South Africa kuunga mkono wahalifu wa palestine

Je nini itakuwa mstakabali wa South Africa na siasa za israeli-palestine?

Makaburu ndio wanamiliki uchumi wa South Africa na bado wanaushawishi mkubwa kwenye siasa za africa kusini

Muda utasema
Naona unaongea fikra zako unadhani Wasouth Africa ni mapunguani kama wewe haya maneno ungeyasemea South Africa ungepigwa makofi.

Angalia haya maandamano ndani ya Soutu Africa hayo maandamani ya wananchi ndiyo yameipa nguvu serikali kufungua kesi dhidi ya Israel

View: https://youtu.be/sKMBsx79Gcc?si=v84_HBi5ZhqqcTzN
 
Back
Top Bottom