Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,430
- 2,282
...Umedatakama picha ipo aiweke kule utam ili wabunge wahakiki urembo na uzuri wake.
...Umedatakama picha ipo aiweke kule utam ili wabunge wahakiki urembo na uzuri wake.
.........This thread was about Uncle J ??? Just askin'.....teh teh teh.
Huyo dada wa Kinyamwezi na Kisukuma ninaye hapa Ufini... mambo laini...!labda mngazija mwenzako huyo.....
pointi faivu la kisukuma na kinyamwezi huliwezi wewe...uko nje ya ligi....inabidi upande chati kwanza....
hausigeli aweza kutoka kokote maana hawahitajiki Dar peke yake.Wa Tabora, Mwanza au Shinyanga aweza fanya kazi Bukoba, Kigoma au huko huko mkoani kwake.Hata siku moja sikuwahi kuona wala kusikia housegirl anatokea Tabora, Mwanza, au Shinyanga. Kwanza huko ni mbali sana na Dar. Sijui hata wangefikaje Dar....
Halafu mbona unawatetea sana Wanyalu? Na wewe ulikuwaga "Niangusage" nini? Lol
Ukiwa kama mwakilishi wa Unyaluland... hako kaavatar kako kananionyesha jinsi gani wanawake wa Unyalu wasivyojiamini... Nitabakia kwa Mngazija wangu tu...Mngazija analoga na mnyalu anapenda kikweli aisee yaani for better and for worse....ukitaka perfect wifey wee kaoe uheheni...really talk.
Hausigeli ni kutoka Unyalu tu.... siku hizi hadi kule Zenj wapo hawaogopi tena kupanda botihausigeli aweza kutoka kokote maana hawahitajiki Dar peke yake.Wa Tabora, Mwanza au Shinyanga aweza fanya kazi Bukoba, Kigoma au huko huko mkoani kwake.
Hausigeli ni kutoka Unyalu tu.... siku hizi hadi kule Zenj wapo hawaogopi tena kupanda boti
its like this...'Ukiona nimenyamasa ujue nimekubali wewe niangusage tuu"...
That is grossy!...For the record Dada Joyce doesnt take any bullshit she is such a strong woman,wee ueajiriwa kufanya kazi na siyo kutongoza au kuleta lelemama piga mzigo matokeo utayapata mwisho wa mwezi...tatizo mmeshazoea wale wanawake wanaosema yes sir (maharagwe ya Mbeya).Wanawake wa Kinyalu ni very beautiful,strong and very smart.
Unacheza weee!...mimi simuogopi mwenye nyumba wala nini i do me kwa kwenda mbele.
...Hivi hawa ndio wale "we niangusage tu"....Ila wanyalu wapo simple ile mbaya... Zaidi hawana noma, tena siku hizi wanaingia Dar kwa mafungu...
Naaam... bila shaka yoyote ile......Hivi hawa ndio wale "we niangusage tu"....
Na wanaosema niangusage sambi ni sako mwenyewe ni kina nani? Seem they are lose kiasi kwamba hata HIV prevalence inaongoza Tz mikoa yote nafikiri
Sasa mwanjelwa hutaki?..unadhani utafananisha mademu wa Kinyalu na wale wa Pale Mwanjelwa sokoni au kule soko Matola? ......wee sema ukweli wako... really talk!
mnawakandia bure madada wa wenzenu na kuwasifia wenu bure pia. mademu wote sawa laini ile. zali lako tu.
wanasema mademu wa kinyalu ni kama kusukuma mlevi lakini mi nimefuata wengi tu na nimekosa. wambeya vilevile sina zali nao. wakat huohuo wa sehemu zingine na wadaka kama kawa. sa hapo nisemeje? nina gundu na laini ile au vp?
Originally Posted by Mzuzu Na wanaosema niangusage sambi ni sako mwenyewe ni kina nani? Seem they are lose kiasi kwamba hata HIV prevalence inaongoza Tz mikoa yote nafikiri[/QUOTE said:suala la zinaa limeenea kila mahali siku hizi, sijui umepita mikoa mingapi, na unaongeleaje dar na ufuska? hata hizo takwimu za watu wa ukimwi huwa zina mashaka sana sijui wana kusanya vipi data! au wanaover estimate ili wapate misaada
kwakuongezea ni la kimazingira zaidi (Geograpahical or social interaction), ukichunguza zaidi utaona, Uganda ndio ilikuwa ya kwanza east africa, ukaingia tz kupitia kwa majirani wa UG, BK, iringa, chalinze na ameneo mengine kama hayo yako kwenye route ya tz and other interlocked countries tafakari utajua ni kwanini. dar wanakufa wengi tu sema hawajuani wengine wakiumwa wanapelekwa vijijini kwao, WEWE ENDELEZA LIBENENKE HAPO ULIPO KWA KUDHANI IRINGA NDIO SOO, TUTAKUSIKIA.
kwakuongezea ni la kimazingira zaidi (Geograpahical or social interaction), ukichunguza zaidi utaona, Uganda ndio ilikuwa ya kwanza east africa, ukaingia tz kupitia kwa majirani wa UG, BK, iringa, chalinze na ameneo mengine kama hayo yako kwenye route ya tz and other interlocked countries tafakari utajua ni kwanini. dar wanakufa wengi tu sema hawajuani wengine wakiumwa wanapelekwa vijijini kwao, WEWE ENDELEZA LIBENENKE HAPO ULIPO KWA KUDHANI IRINGA NDIO SOO, TUTAKUSIKIA.
Kuna watu wanachezea maisha yao kwa kufikiri kwamba kutembea na wanawake wengi ni sifa au kuwa na wanaume wengi ndiyo market yako inaikuwa juu.
For sure tubadilike sasa tuko kwenye dangerzone, ukicheza unaukwaa na masifa yako.