Yes! Yaani jamaa imemwaga mouth diarrhaea hapa mpaka nikashangaa! Then ile diarhaea ikawa cleaned immediatey. wangeiona wakina Nyani ngabu na mtarajiwa wake kelly01 pasingetosha hapa!.
Makabila Yetu na Urembo
Hiyo hapo juu inanikera. Siwezi amini 'Hili liafrika ndivyo lilivyo' yaani Nyani Ngabu anaweza kutudiriki sisi Watanzani kuanza kuangaliana kwa Ukabila na urembo wake! Toba!
Halafu iwe nini, mantiki yake iko wapi.
Usituaribie a United States of Tanzania kwa maushuzi ya kinyani nyani.
Nuff said!
watu wengine bwana..wanakurupuk tuu kutoka usingizini na kuanza kuropoka tuu
Wee unaonekana una chuki binafsi na Nyani ngabu hujui hata hii topic imetokewa wapi uningia na kuanza kumkashfu Ngabu..uliza kwanza ndiyo uelezwe acha kuparamia kivuli dogo....
😀😀😱
Hiyo chuki binafsi iko wapi?
Badala yake ungenielewesha topiki imetokea wapi-kama nimekosea- halafu ukurupuke kama ulivyofanya.
Nauliza Ukabila na urembo wapi na wapi!
We kabila gani? Na wewe mrembo au uko uko tu?
Then this is what you were suppose to do right?..ask first before accusing him...Nyani didn't start the topic...this topic has been moved from another topic..if yu happen to read betweens lines and every page ungeona comment frm Invisible anasema sorry guys i decided dah dah dah dah this topic...you know what i am saying?!....
....Uncle J labda alimwomba issue akiwa tingasi!!? Maana nasikia yule dada wa kinyalu nyeti zake amezitwanga kufuri la chuma lililomiminiwa shaba. Kulivunja inabidi uje na welding ya kukatia vyuma vya tractor..... na ukishindwa na moto unakuwakia!.
Kelly01,
We kabila gani? Na wewe mrembo au uko uko tu?
Maneno ya mkosaji bwana, huna hoja unakimbilia uhater...you might be the biggest hater in here. Hii ni mara ya ngapi unaaga hapa ?
Kelly01,
Kwetu, wewe ni mwiko!
Asante kwa jibu.
Kuhusu urembo wako, je uko uko au?(hukunijibu hili)
We ni Mwanamke au Msichana?
Tunaomba picha.
Kelly, Tyra banks ni Mnyalu??
Merry X-mas.
Comment deleted. Link to post: https://www.jamiiforums.com/347574-post26.html