Makabila Yetu na Urembo

hehehehe...wewe uko dead on arrival kwa sista wangu maana condition ya kwanza ni kutema yai....na wewe hilo huwezi. shoooory....lol
Bahati nzuri hadi sasa ninae mmoja... tena anakimind kiswahili changu... anasema ni cha pwani...lol
 
Bahati nzuri hadi sasa ninae mmoja... tena anakimind kiswahili changu... anasema ni cha pwani...lol

labda mngazija mwenzako huyo.....

pointi faivu la kisukuma na kinyamwezi huliwezi wewe...uko nje ya ligi....inabidi upande chati kwanza....
 
heee...vipi..mwenye nyumba kaondoka nini? maana ma housegirl wakinyalu ndo walivyo....mwenye nyumba akiondoka wao wanaanza kuchezea vitu....kama wanajua kutumia simu basi watampigia kila...kama wanajua kutumia mtandao basi watakuwa na field day.....


Unacheza weee!...mimi simuogopi mwenye nyumba wala nini i do me kwa kwenda mbele.
 
heee...vipi..mwenye nyumba kaondoka nini? maana ma housegirl wakinyalu ndo walivyo....mwenye nyumba akiondoka wao wanaanza kuchezea vitu....kama wanajua kutumia simu basi watampigia kila...kama wanajua kutumia mtandao basi watakuwa na field day.....

😱😀! Kazi kweli kweli hapa leo!
 
Hehehehehehe....hujafa tu?

kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza....kwa hiyo wewe endelea na crusade yako ya kum hate Ngabu, the Teflon Don Dada aka Ngabu Tha Casanova aka The Hater Aggravator...

Umekuja huku kutafuta uchokozi...sasa watu wakikubwenga makonzi sijui utasemaje? Just leave me alone, let me be, will you? Or is that too much to ask? Geez....nikkikuacha alone unanitafuta na kunichikoza....what ze hell? Wewe endelea tu na kuwashikia bango mafisadi..na mwache Ngabu alone....
 
Ila kuhani wewe ni kiboko. Sintofahamu (confusion) kabisa. Kama ni jela, wewe ndiyo unapewa unyampala lwa wenzako!.
 
Mtego wa nyani kaingia Kelly01, kazi kweli kweli......


Mods mpo sharp, hata dakika mmepangua bomb, hii kali.
 
Mtego wa nyani kaingia Kelly01, kazi kweli kweli......


Mods mpo sharp, hata dakika mmepangua bomb, hii kali.

What it do hommie..?

Afadhali bana maana it was about to get ugly.....huyo jamaa mchokozi sana....yaaani kanitafuta weee hadi akapata ka loophole kakunichikoza wakati mi nilikuwa namaindi mambo yangu....

Sio kila siku tubishane misiasa tu....aaagh
 
hii mtego wa nyani kaingia kelly ina maana gani? am i being set up for something or what? YE....can you clarify....
 
hii mtego wa nyani kaingia kelly ina maana gani? am i being set up for something or what? YE....can you clarify....


Hamna kitu babu, i am just enjoying the show with my large popcorn bucket!
 
hii mtego wa nyani kaingia kelly ina maana gani? am i being set up for something or what? YE....can you clarify....



Hivi,,, ule upupu Kuhani ameumwaga hapa, MD kaung'oa? Maana nimeona mara moja then hakuna kitu!
 
Haya...I'm out y'all maana kuwepo kwangu hapa kunawakosesha watu raha....see you when you see me...
 
NN, I thought uangalii makunyanzi....yamekuwa hayo mazee!
Starring hafi babu..
 

Kelly, juu ya kula Mbwa ni kweli Wahehe mwala mbwa. Usikatae.

Juu ya Wanyamwezi kupenda wanawake weupe, hii ni kweli - Tunapenda. Bei ya mwanamke inapanda kutokana na Weupe na usomi wake. Ila Weupe ni mbele kwa mbele. Tuna wimbo tunaimba kuwa "mwanamke mweupe, usiku wala HUHITAJI KIBATARI". Ndiyo maana hata ule wimbo wa ZILIPENDWA wa Nyanyembe Jazz "Kinda la Rangi ya Chungwa", walikuwa watoto wa Chief Fundikira, enzi hizo akikaa Kenya. Walikuwa watoto wake wakija Tabora, basi Mji unachanganyikiwa. Wanyamwezi hadi wakaimba "toto la rangi ya Chungwa". Nafikiri Kichuguu ataweza kutupa zaidi maana walikuwa ni wapinzani wao hapo Tabora miaka ya 70. Ukitaka kujua basi zile toto nzurinzuri za Nyanza Secondary, nyingi baba zao ni watu wenye MANG'OMBE mengi sanaa na watoto wanakuJAGA na Mahela mengi na ngozi nyororo, na nyeupeeeeee......
 
Kumbe na wewe ulipiga chabo, mkuu!

Yes! Yaani jamaa imemwaga mouth diarrhaea hapa mpaka nikashangaa! Then ile diarhaea ikawa cleaned immediatey. wangeiona wakina Nyani ngabu na mtarajiwa wake kelly01 pasingetosha hapa!.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…