Una kitambi? meno yako yakoje? una makengeza? una rangi gani, nyeusi, nyeupe, maji ya kunde? kabila gani wewe? how big is youe extended family? baba ako na mama ako bado wameoana? wazazi wako wana elimu gani? wewe una elimu gani? na kama unayo uliipata wapi? una kilo ngapi? urefu wako je? aina yako ya mwili?
Kelly na Ngabu (others included) kwanza samahani kwa kuamua kuyahamisha maandishi haya na kuanzisha topic mpya. Nimechukua uamuzi huu kwakuona kuwa haya yote yalienda nje ya hoja ya msingi.This is what i will tell you about wanyalu and you better respect them...
First of all wanyalu are so strong (please keep this in mind)...hatupendi kuonewa yaani we prefer commiting suicide rather than suffer captured....i think you all remember kwenye history kuwa we are so remakable for our success in war and also tupo so fiecely dont ever try to play with us ukisikia mnyalu anakwambia "Navalonge swela"..oloo basi wee chukua chako mapema usilete ubishi kabisa...
Kelly na Ngabu (others included) kwanza samahani kwa kuamua kuyahamisha maandishi haya na kuanzisha topic mpya. Nimechukua uamuzi huu kwakuona kuwa haya yote yalienda nje ya hoja ya msingi.
Back to this, naona wewe (Kelly) na NN mnawezana kwa sana... Am enjoying reading your comments, naomba matusi yasiingie kwani hizi ni public forums! Otherwise, nice holidays guys.
Invisible

Much respect Mr Invisible.....Mimi sijui matusi so sitatukana wala usikonde kwa suala hilo....nikiona wananiudhi nitawaambia uu "navalonge swela"....
happy holiday to you and your family...
Ila wewe! Siamini kama kweli ...tunywesage! Una heka heka atypical housegirls!
Mngazija na mnyalu yupi mkali katika kutunza na kuendeleza penzi...
Mngazija na mnyalu yupi mkali katika kutunza na kuendeleza penzi...
Manjelwa mbona hata house girl nayo ni kazi pia....unajua kila mtu na proffesional yake....sasa wote tukisoma itakuwaje?
duh...nilidhani password na user zangu zilikuwa hacked baada ya kuona hii thread na kusoma mwanzilishi eti ni NN....kumbe Invisible kafanya mazingaombwe yake.....
nini kinaendelea humu...i was away for a minute...i ate like a king and now i feel like a snake....
Me i thought na ww siku hizi umekuwa administrator...
Hujanielewa. Naheshimu kazi. Ila Nina maana wenzako wako kama wahehe. Wewe kama mnyakyusa hivi.....! au kwa sababu ya kujivinjali sana mwanjelwa?
aisee wakijitusu wanipe ubosile hapa mbona mtanikoma....hata wao (invisible na painkiller) nitawa ban...server ban
Hahahahahaha!.....yaani utakuwa huangalii makunyanzi siyo!...