Makabila ambayo bora uwe single

Hapa unatusingizia tu huenda kuna watu unawafahamu wewe wanaoenda huko kumsabahi huyo mganga ila sio wote! Nimezaliwa usukumani sijawahi kuona hayo mambo pande zote mbili za kwetu!
 
Mimi ni mchaga w kibosho asili yangu ya baba , mama ni msomali ila wa asili ya wachaga wa machame , mimi nimekulia marangu kwa babu mdogo, toka 87 mpaka 95 nilipo ondoka na mama manyara babati kipindi hicho ni Arusha

Mkuu wewe ni mchagga, uchaga ni damu, uchagga ni desturi na mila, uchagga sio jiografia wala ukuaji wa eneo. Uchagga no asili ya mtu. Kama ulivyo Usukuma, usukuma umetawanyika almost nch nzima. Jivunie kuwa mchagga, uchagga ni urithi "Heritage" na ni ufahari. 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…