Makabila ambayo bora uwe single

Yani umfanyie umalaya mkurya afu akuache tu asikukung'ute mapanga?
Fanyia huo ujinga wajomba zako
 
Kati ya makabila uliyoyataja hapo kuna moja hapo lina mabinti warembo na wenye mvuto, ila kiburi chao kama kingekuwa maji ukayafungulia mtoni, kingesababisha mafuriko mto Rufiji maji yakazamisha Ikwriri yote
 
Wachaga? πŸ˜ŽπŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…