Eastleigh, i had a brother there, sorry enough he had passed away, rest in paradise camarade.Huyu Chidi in his prime, nilikutana nae Nairobi Eastleigh akiwa na Nonini, Gabu, Frasha wakishoot East Africa hit song "Kadhaa remix" , Chidi alikuwa na walinzi wanamlinda, shingoni makamba, miwani mipana "shade", watu kibao wakiwazonga mitaa ile.
Chidi wa kukaa hotel nyota tano, back in the days. Kweli kesho ni fumbo.
Eastleigh, i had a brother there, sorry enough he had passed away, rest in paradise camarade.
Kwa hali aliyofikia chid hawezi kuongea hayo na akiweza jua katumia siku mbili kuyaongea.''Sina wa kumlaumu,niilijipoteza mwenyewe, Kwa sehemu kubwa Jamii hainitazami tena kwa jicho la Usaidizi, Jamii inanitazama kama Mlevi au Teja,Lakini pengine Mimi ni Mfano hai unaoweza kutumika kusaidia kizazi kingine kinachoteketea kimya kimya. Nilikuwa Msanii Pekee wa Hip Hop niliyekuwa Hot kiasi kwamba nikashirikishwa mpaka kwenye nyimbo za Bolingo…
kumbuka FM Academia!…haikuwa ajabu Mimi kufanya Show India Jukwaa moja na P Square , Haikuwa ajabu Katika Fietsa Concert tour Mimi kuwa na Msafara wangu Binafsi wa Magari wakati wasanii wengine wote wakiwa kwenye Isuzu jorney na Costa, Hayo yote ninayozungumza si kwa Lengo la kujisifu la hasha!...watu watasema mengi lakini naumia kuona nipo hivi leo..naumia kwa Ulevi niliouingia...ulevi ambao mara kadhaa nimejaribu kuuacha..
.Ulevi huu ni Pingu, leo King Kong Mwili Jumba nimebaki na Mwili huu? niseme tu wazi sisi kama wasanii hujaribu vilevi vingi hasa pale tunapokuwa Hot na fedha inaingia...kumbuka wasanii muda wote ni watu wa safari na show,...wengi tunashindwa kuji-manage na Starehe...Maisha yanayotuzunguka hutulevya..Maisha ya vilevi na wapambe.
Mimi nimewahi kulipiwa Mamilioni na watu mbalimbali kwa upendo tu ili kupata Rahabilitation kutoka katika kifungo hiki lakini nikabaki kwenye ulevi ule ule. Nakumbuka mwanzoni mwa mwaka 2015 siku moja wakati nipo Maisha Club Basement alikuja Mtu Mmoja nisiyemjua akaniambia "Chidy hii si sawa...Chidy umekwisha, Mimi ni Mshabiki wako..Afya yako inatisha...tafadhali chukua hii namba kesho nipigie nione namna ya kukusaidia" Basi kesho yake nikampigia simu yule jamaa,.alichofanya ni kunichukua na kunipeleka Sober House (Pemba)...akalipa Gharama zote.
Sasa wakati nipo Pemba kuna pesa zangu za kazi ya Muziki ziliingia ilikuwa kipindi cha Uchaguzi Mkuu..Millions of Money...kwa kweli ilitaka sana Moyo kwa mtu mwenye Addiction kama mimi kuvumilia kukaa Sober House while huko nje kuna Milioni zangu kadhaa...Nikaondoka Rehab kwa lazima...hii ilikuwa sawa na mgonjwa anatoroka Dozi hospitali....nikarudi Jijini....jijini Dar es Salaam nikakutana na Mamilioni yangu, Washkaji, Vileo na Wapambe...nikaanza bata...nikarejea kwenye ulevi wa vilevi vyote kikiwemo kile kikuu kinachoniangamiza....home sikukaa, nilikaa hotel..nikatumia....kiasi cha fedha nilipeleka kwenye Ujenzi ambao haukufika mbali...leo nazungumza hapa zimekwisha zote…..Maisha haya sio sifa bali ni utumwa....utumwa ambao sishauri mtu mwingine kujaribu kujiingiza...Brother hata wewe usije ukajaribu kamwe...huu ni utumwa mkuu kuliko Minyororo ya Mjerumani.
Mimi ni Muhanga mmoja hadharani lakini kuna maelfu wako Gizani....Nyinyi mmepata Fursa ya kuniona Mimi Chidy kwa sababu nilikuwa maarufu na mwenye impact ktk sanaa na Jamii...je vipi kuhusu wale wasijulikana, wasio maarufu na wanahitaji Msaada?. Narudia, kipo kizazi kinachoendelea kuteketea kimya kimya bila Awareness yeyote, na lipo daraja linalonufaika na hali hiyo'- Chidy Benz (Katika Mahojiano na Saint Pio).
Credit: Pio PiusView attachment 3374762s
Mi niliweza kuacha soda kwa almost 9yrs, cha ajabu nimerudi kizembe mno.Hongera sana mkuu , mimi nilijaribu ila naona kama nilikurupuka
Wakati wauzaji ni maccmPaul Makonda alipolivalia njuga hili tatizo la madawa akapigwa vita na Chadema
Ukweli mchungu.Narudia, kipo kizazi kinachoendelea kuteketea kimya kimya bila Awareness yeyote, na lipo daraja linalonufaika na hali hiyo'
Jamaa alikuwa na kipindi EATV, alifanikiwa sana.Huyu Chidi in his prime, nilikutana nae Nairobi Eastleigh akiwa na Nonini, Gabu, Frasha wakishoot East Africa hit song "Kadhaa remix" , Chidi alikuwa na walinzi wanamlinda, shingoni makamba, miwani mipana "shade", watu kibao wakiwazonga mitaa ile.
Chidi wa kukaa hotel nyota tano, back in the days. Kweli kesho ni fumbo.
wakati wa majuto''Sina wa kumlaumu,niilijipoteza mwenyewe, Kwa sehemu kubwa Jamii hainitazami tena kwa jicho la Usaidizi, Jamii inanitazama kama Mlevi au Teja,Lakini pengine Mimi ni Mfano hai unaoweza kutumika kusaidia kizazi kingine kinachoteketea kimya kimya. Nilikuwa Msanii Pekee wa Hip Hop niliyekuwa Hot kiasi kwamba nikashirikishwa mpaka kwenye nyimbo za Bolingo…
kumbuka FM Academia!…haikuwa ajabu Mimi kufanya Show India Jukwaa moja na P Square , Haikuwa ajabu Katika Fietsa Concert tour Mimi kuwa na Msafara wangu Binafsi wa Magari wakati wasanii wengine wote wakiwa kwenye Isuzu jorney na Costa, Hayo yote ninayozungumza si kwa Lengo la kujisifu la hasha!...watu watasema mengi lakini naumia kuona nipo hivi leo..naumia kwa Ulevi niliouingia...ulevi ambao mara kadhaa nimejaribu kuuacha..
.Ulevi huu ni Pingu, leo King Kong Mwili Jumba nimebaki na Mwili huu? niseme tu wazi sisi kama wasanii hujaribu vilevi vingi hasa pale tunapokuwa Hot na fedha inaingia...kumbuka wasanii muda wote ni watu wa safari na show,...wengi tunashindwa kuji-manage na Starehe...Maisha yanayotuzunguka hutulevya..Maisha ya vilevi na wapambe.
Mimi nimewahi kulipiwa Mamilioni na watu mbalimbali kwa upendo tu ili kupata Rahabilitation kutoka katika kifungo hiki lakini nikabaki kwenye ulevi ule ule. Nakumbuka mwanzoni mwa mwaka 2015 siku moja wakati nipo Maisha Club Basement alikuja Mtu Mmoja nisiyemjua akaniambia "Chidy hii si sawa...Chidy umekwisha, Mimi ni Mshabiki wako..Afya yako inatisha...tafadhali chukua hii namba kesho nipigie nione namna ya kukusaidia" Basi kesho yake nikampigia simu yule jamaa,.alichofanya ni kunichukua na kunipeleka Sober House (Pemba)...akalipa Gharama zote.
Sasa wakati nipo Pemba kuna pesa zangu za kazi ya Muziki ziliingia ilikuwa kipindi cha Uchaguzi Mkuu..Millions of Money...kwa kweli ilitaka sana Moyo kwa mtu mwenye Addiction kama mimi kuvumilia kukaa Sober House while huko nje kuna Milioni zangu kadhaa...Nikaondoka Rehab kwa lazima...hii ilikuwa sawa na mgonjwa anatoroka Dozi hospitali....nikarudi Jijini....jijini Dar es Salaam nikakutana na Mamilioni yangu, Washkaji, Vileo na Wapambe...nikaanza bata...nikarejea kwenye ulevi wa vilevi vyote kikiwemo kile kikuu kinachoniangamiza....home sikukaa, nilikaa hotel..nikatumia....kiasi cha fedha nilipeleka kwenye Ujenzi ambao haukufika mbali...leo nazungumza hapa zimekwisha zote…..Maisha haya sio sifa bali ni utumwa....utumwa ambao sishauri mtu mwingine kujaribu kujiingiza...Brother hata wewe usije ukajaribu kamwe...huu ni utumwa mkuu kuliko Minyororo ya Mjerumani.
Mimi ni Muhanga mmoja hadharani lakini kuna maelfu wako Gizani....Nyinyi mmepata Fursa ya kuniona Mimi Chidy kwa sababu nilikuwa maarufu na mwenye impact ktk sanaa na Jamii...je vipi kuhusu wale wasijulikana, wasio maarufu na wanahitaji Msaada?. Narudia, kipo kizazi kinachoendelea kuteketea kimya kimya bila Awareness yeyote, na lipo daraja linalonufaika na hali hiyo'- Chidy Benz (Katika Mahojiano na Saint Pio).
Credit: Pio PiusView attachment 3374762s
Pole mkuuMi niliweza kuacha soda kwa almost 9yrs, cha ajabu nimerudi kizembe mno.
Thanks a lot comradeEastleigh is definitely a nice place to live in. Over the years, I've been going there back and forth. I'm very sorry you lost a brother there.
Tunamtakia kila la heriNi furaha kuona Chid Benz, Rapa ambaye ametengeneza heshima kubwa sana kwenye kiwanda cha muziki nchini, amerudi kwenye utimamu tena baada ya maswahibu aliyoyapitia.
Ni mashabiki wa kweli wa Chid Benz ambao wasingeweza furahia kile ambacho Chid alikuwa akipitia. Ila mwisho wa siku ule MUDA ambao aliwahi uimba, umejibu.
King Kong, jitu lenye miraba yake, limerudi kama mwanzo. Dhihaka, kuonekana ashapoteza, haipo tena, MUNGU ni Mwema na iwe kheri siku zote.
La FamiliaaaaView attachment 3385225
Heee kumbe ni dawa ya afya ya akili😡😡😡😡Kaka mimi toka nimezaliwa hayo mambo hata kuyaona sijawahi japo Mara moja moja msuba huwa napiga kwa afya ya akili yangu , mara moja hata kwa miezi miwili tu bwashee