benluv
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 441
- 342
neno kuntu,hata kupika ugali kuna hatua zakeMitandao ni mizuri tu kuna watu wa kila sampuli pia unaweza kufanya urafiki kwanza sasa ukiwaza kingono ngono hii sio site ya machangu
neno kuntu,hata kupika ugali kuna hatua zakeMitandao ni mizuri tu kuna watu wa kila sampuli pia unaweza kufanya urafiki kwanza sasa ukiwaza kingono ngono hii sio site ya machangu
Tehe tehe tehe, tihi tihi tihi, kwekwekwekweWengine wamekataliwa hasira waja kumalizia humu na kuponda vigezo hawana wala quality
Vijana wana mambo!!!!!!Unataka papuchi kuna page nyingi za wanaojiuza unaenda wafata hafu mwenyewe ukute huna quality hafu unataka mrembo utasubiri sana, nenda kwenye sehemu zenye hadhi.humu JF utaumia tu bure wallah.Hahaha ujue ipo hivi mtu anajikoki kuonana na mrembo, ila mrembo yeye mawazo yake nikuongeza idadi yamarafiki nakufahamiana nawatu tofauti tofauti, ila jamaa lengo nikutongoza nakupata papuchi ila mwisho wasiku anakutana nazauso Hahahahaha anaamua kuja kuwashusha thamani wanawake wahumu mara wabaya mara oooooo sio smart
Hahaaaa ulitisha sana mkuuTehe tehe tehe, tihi tihi tihi, kwekwekwekwe![]()
![]()
Vijana wana mambo!!!!!!
Zamani wakati haya mambo ya simu hayapo, nilikuwa namkula house girl na wala sina habari na dunia. Ndiyo maana hata kutongoza napataga shida.
Tehe tehe tehe, tihi tihi tihi.
Ndo manakeHahahaha, nafurahi maoni ya wadau Mkuu,kumbe wamekula vibuti ?
Tangu 2007 hadi naoa I met friends online, sijawahi kujuta coz sikuwa natongoza from first instance, yaani kufikia mahusiano watu tumeshafahamiana vizuri and she's comfortable with me.Umeandika point muhimu sana hata mtaani huwa haiwi rahisi.kihvivo
Kimekutokea nini mkuu, ila wewe una tatizo utampendaje mtu kwa avator, sijui picha, au comments, ujue huo ulikuwa upendo fake ila ungependa moyoni wala usingeona shida, mi ndo maana hushangaa mtu ansyevutiwa na mtu kisa picha kah BY the way wa mtaani na JF ndo hao hao. Jifunze kupenda mtu bila kuweka hisia

Hahahahahahah, ni noma mkuu kuna moja niliwahi ivutia whatsapp kucheki kumbe ni baamed af kolo kinoma nikaona isiwe kesi, since then no shobo humu! Tuchat tu yaishie hapa
Aisee nilipatikana kweli kweliHahahahaaa.. ulikomeshwa
Hahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brown
Hahahaha cariha bac niwe rafiki yako ila uniweke chini yauangalizi kwamda maalum mpaka uridhike hahhaUnataka papuchi kuna page nyingi za wanaojiuza unaenda wafata hafu mwenyewe ukute huna quality hafu unataka mrembo utasubiri sana, nenda kwenye sehemu zenye hadhi.humu JF utaumia tu bure wallah.
Hafu Mimi kwanza hukutana na mtu nafanya urafiki kwanza haya ya mahusiano humu Jf ni big no, too much childish nakuzalilishana hivi
Nakuunga mkono kiongozi. Urafiki kwanza angalau upate kujau mawili matatu kuhusu huyo muhusikaElimu ya kutafuta marafiki mitandaoni inabidi itolewe. Hivi unaanzaje ku-fall kwa avatar/fake picture ya mtu?
Online dating inahitaji utulivu, umakini, taratibu, sio papara, urafiki kwanza then mahusiano baadae sana. Mtu anawaza kukutana na mdada na kumla siku hiyo hiyo, kwa nini usiwaze kukutana na stranger ambaye aweza kuwa rafiki tu? Then from there you start ado-ado.
Haya na wewe mzigua hako kashepu unako hata robo yake?Hahahahahaaaa
Bora utongoze fesibuku kuliko JF mkuu humu kuna mademu wanamzidi mizengo pinda






we jamaa banaNa ukikutana na mtu for the first time mnaanza kuwa marafiki kwanza mnazoeana then ndo unajipima huyu tutaendana naye, sasa nowadays I wonder mtu eti anavutiwa na avator sijui comments sijui nini kah.Tangu 2007 hadi naoa I met friends online, sijawahi kujuta coz sikuwa natongoza from first instance, yaani kufikia mahusiano watu tumeshafahamiana vizuri and she's comfortable with me.
Sasa tunachat leo ->tunapeana namba kesho ->promise za kukutana tunafanya kesho jioni ->alhamisi nachukua chumba Riverside ubungo ->unakuja tunakula na kunywa then tunalalana then mtu anarudi mitandaoni kuwa taswira niliyokuwa nayo sicho nilichoona.
That's rubbish!!!
Nini sasa