cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Urafiki wa ki JF siutaki kabisa kuna wavulana humu special kwa kuanzisha nyuzi za kitotoHahahaha cariha bac niwe rafiki yako ila uniweke chini yauangalizi kwamda maalum mpaka uridhike hahha
Urafiki wa ki JF siutaki kabisa kuna wavulana humu special kwa kuanzisha nyuzi za kitotoHahahaha cariha bac niwe rafiki yako ila uniweke chini yauangalizi kwamda maalum mpaka uridhike hahha
Aisee nilipatikana kweli kweli
i once met with my girl friend from this mitandao and so on,we used to know each other,spending out together for more than two years....unajua kilichofuatia......????
sema natumaini wewe unaangalikaPole bwana ajali kazini
Haya na wewe mzigua hako kashepu unako hata robo yake?
series ya kispanish...acha kabisa...Tupe habari
series ya kispanish...acha kabisa...
Kabisa mkuu mi humu Jf nimepata marafiki wema na huwa staki kuwaza ngononeno kuntu,hata kupika ugali kuna hatua zake
una umri gani?Urafiki wa ki JF siutaki kabisa kuna wavulana humu special kwa kuanzisha nyuzi za kitoto
sema natumaini wewe unaangalika
utamu upi tena mzigua???Unakata utamu na wewe
hahahaahahahahaaaaa.....unawaza nini sasa,ugali au nguo???we unanchekesha sasaKabisa mkuu mi humu Jf nimepata marafiki wema na huwa staki kuwaza ngono
Kweli kabisa mkuu. Urafiki kwanza.Nakuunga mkono kiongozi. Urafiki kwanza angalau upate kujau mawili matatu kuhusu huyo muhusika
utamu upi tena mzigua???
mapenzi ni maisha ujue
Ni utoto flani mkikutana huko malizaneni huko kiutu uzimaHahahaha, asee kweli huo uzwazwa,ndio maana huwa nacheka sana Uzi km hz
aah...nataka nichukue jumla kabisaKilichofuata ITV nikijue..
aah...nataka nichukue jumla kabisa
Urafiki ukijengwa nje ya kingono hudumu sasa hamjuani mnaanza kunyaduana unategemea nini hapo sasa. Urafiki kwanza hatujui kesho yetuhahahaahahahahaaaaa.....unawaza nini sasa,ugali au nguo???we unanchekesha sasa