Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Hahaaaaa hamna aliyenivuruga hizi topic za watu kulalamika sijui flani mubaya sijui anajifanya ka alipenda urafiki na sio matananio yakiuzinzi mambo yasingefika huko yalipofika aisee
Mtu wa pili huyo anakuambia hahaha nilianza mimi
 
We jamaa naona unapambana mwanzo mwisho....hahahaha ndio uwanaume huo komaa chali yangu
Sio kwamba napambana...bali nataka kuonyesha kwamba PM...ni kipengere kilichowekwa kwa ajili mtu anayetaka kuchati mambo fulani ya private...Sasa watu wengi wanakosa uelewa wa hicho kitu na kudhani mtu akikufata Private Message(PM)...Anawaza muda wote kutongozwa
 
Anachosema cariha hapo kwanini hicho mlichoongea private kina letwa public??
 
Sio kwamba napambana...bali nataka kuonyesha kwamba PM...ni kipengere kilichowekwa kwa ajili mtu anayetaka kuchati mambo fulani ya private...Sasa watu wengi wanakosa uelewa wa hicho kitu na kudhani mtu akikufata Private Message(PM)...Anawaza muda wote kutongozwa
Tumejionea wengi ni ujinga na Kuja kuzakilishana humu. Though pm ni muhimu Ila humu ni sehemu ya watu kutafta ubuyu na kiki
 
Tumejionea wengi ni ujinga na Kuja kuzakilishana humu. Though pm ni muhimu Ila humu ni sehemu ya watu kutafta ubuyu na kiki
Jf haiwezi kuwa sehemu ya kutafuta ubuyu wala kiki hapa ni sehemu huru ya kuongea chochote unachohisi kuwa kimekukwaza au kukutatiza.
 
AAA wapi mi naweka avator inayonivutia sio mtu mwingine mwenye matamanio yake kwanza Mimi humu had nikutane na mtu sijui iweje nimekutana na wachache na hawana utoto wa kuanzisha mada za hovyo we are normal friends. So avator ni minor issue mi cjali sura sina uwezo wakuumba hata kucha as long as we can be good friends no problem. Napenda roho ya MTU

Unaandika kwa Huruma sana Dada yangu. Maneno yote ni kujifariji tuu.
 
Binafsi nina bahati ya kukutana na wanawake wazuri wenye mashepu na elimu nzuri. Wengi ni marafiki zangu. Wapo ambao ni kama mama zangu humu ambao tunafanya nao biashara za hapa na pale. Kukutana na mwanamke mbovu hutegmea na mwanaume pia. Vitu vizuri huwaendea wazuri.
 
Hatuwezi kuweka picha halisi ili Ku empress MTU mwenye matamanio yake. Ndo mana hii forum inatumia fake identity. Ukitaka picture waenda fb au IG

Kwa mfano hiyo avatar yako kuna watu full udenda na imagination kibao
 
Mimi nilijua labda hujaikuta, vitu vingine mna complicate mambo bure, wewe unataka ardhi halafu unaangalia Mbingu ya nini..!?
 
Back
Top Bottom