Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Shida ni mtu anakuja pm then later anaeneza upuuzi wake, mjinga ka huyo unamfanyaje?
Wala hujakosea mtu anajileta huko kisha anangea mbovu mpaka unamshangaa huyu vipi kavimbewa maharage ya wapi ?
 
Hahahaha, nipo kiongozi, naomba umruhusu bi Hajar tuonane ili tupige story kdg ,maudhui ya story hizo ni mambo ya soka,si unajua huyo ni mtani wangu ktk soka

Natumai ombi hili utalikubali ,
Hahahaaaa, ombi lako limefika mkuu na linachakatwa kisha majubu yatatolewa wakati muafaka mkuu

Jibu laweza kua la moja kwa moja au laweza kua swali na lenyewe, kwa hiyo jiandae kwa aina yeyote ya jibu mkuu
 
My dear ndo vile nlivyokwambia sisi tunatofautiana na unaweza siku mtu akakuchafua hata bila kukosana nae.

Cha umuhimu kwako ni kuignore wakati ukijua kua huo ni upuuzi japokua moyoni itakua tofauti.
Mi so ignore huo ujinga wallah dawa ya moto ni moto tu wallah.
 
Inachekesha sana mkuu unastruggle na dem mzee unapelkwa mchaka mchaka unatumia juhudi zako zote.

Anaingia kingi unarekebisha mambo yanaingiana.

Kuna ule msemo unaitwa subira yavuta kheri au mchumia juani hula kivulini.

Sasa mnapanga kuonana ukitaraji bidii yako leo inafanikiwa mzee unachoenda kukikuta unakemea mapepo kwanza unajilaani mpka miguu yako.
Kama ulikuwepo mkuu
 
Back
Top Bottom