Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,859
- 3,022
- Thread starter
- #841
Sio akili za kitoto tatizo ukidanganya, kujikweza uendane na uhalisia wako, sio kutwa nzima unaponda wanaume mara hivi kumbe mwenyew unayeponda huna lolote. Ni ajabu mtu anawaponda wanaomiliki vits wakati hana hata baiskel ya mbao huo ni uzwazwa. Unajikoki kukutana na mtoto classic kumbe kumbe.....Kuwa kama ulivyo ila kufake na kuponda wengine ni mbaya sana.
Hahahaaa. Nimejifunza si kila Me ni wa kukurupuka tu kuzoweana naye + makubaliano ya kuonana maana inavyoonekana walio wengi wana akili za kitoto.