Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Poteza yako ni ipi unamaanisha rafiki!

Ila mi kwa ramli yangu hadi sasa hautofautiani sana na avatar yako
 
Poteza yako ni ipi unamaanisha rafiki!

Ila mi kwa ramli yangu hadi sasa hautofautiani sana na avatar yako
Yaani waeza kuta mtu ana mahusiano yake mazuri tu huko nje ila mtu akaja na mbwembwe zake weee kumbe msanii kama Avatar zetu mwisho wa siku mtu anakosa bara na pwani.

Hiyo ndio poteza yangu hivyo mitongozo ya humu hata sio rafiki. Ni kumi kwa mmoja wanaomaanisha wengine wote chenga.
 
Hahahaha, mtani mie na wewe hakuna kutongozana ,ktk ile ratiba yetu ya kuonana ,lzm tutii hii sharia,ni mastory tu tena ya mpira ,

Ili kuwaonesha vijana,kuwa wahenga huwa wanajadiliana tu mambo mengine si hayo ,

Nikutakie jioni njema mtani/Rafiki
 
Umeonaeee. Tena nitavaa ile jezi yangu ya Yanga aisee najua hapo story zitakuwa za kina Makambo tu na Chama. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ahsante nawe pia rafiki. Wasalimie.
 
Hahahaaaaaa, kweli rafiki na mimi nilielewa hivyo ila nikatolea mfano wa avatar zinavyoweza kumfanya mtu aje mbio tena pengine ana lengo zuri ikiwa mtaelewana vizuri lkn akaja kujua kuna uongo mwingi ndani yake ikiwemo avatar feki anakimbia.

Kwani rafiki wee una mahusiano yako mazuri tu au kuna aliekwishajimilikisha?

Samahani lkn rafiki.....,
 
Oooh. Hivyo mwashauri watu waweke Avatar zipi?

Uuwiiii. Mie nishamilikiwa zamani sana tu rafiki hadi na wajukuu ninao hapa. Teh teh.
 
Oooh. Hivyo mwashauri watu waweke Avatar zipi?

Uuwiiii. Mie nishamilikiwa zamani sana tu rafiki hadi na wajukuu ninao hapa. Teh teh.
Ziwe hata za vikatuni tu, sio unatuwekea ya wema kumbe ndani yake yupo umber rutty

Safi sana rafiki ndio maana nkasema wee hautofautiani sana na avatar yako,
Kila la kheri rafiki.
 
Ziwe hata za vikatuni tu, sio unatuwekea ya wema kumbe ndani yake yupo umber rutty

Safi sana rafiki ndio maana nkasema wee hautofautiani sana na avatar yako,
Kila la kheri rafiki.
Hahahaaaa. Mutuzowee tu rafiki.

Haya bana. Amiin Insha Allah. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…