Majuto ni mjukuu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Binti wa watu katendwa vibaya kwa kweli kupenda ni hasara tu...

attachment.php
 
Attachments

  • najuta.jpg
    najuta.jpg
    34.7 KB · Views: 534
El Toro, najua hujatupa kisa kamili hebu tupemistari kidogo
Unajuta nini umeambukizwa ngoma
au umefumaniwa ukaachika?
 
naona ana pete ya uchumba then kama mwilini kwa juu hana kitu..kalazimishwa kubanjua ile amri nini then majuto ndiyo yamewadia pole....
 
Hebu tjujaribu kutabiri nini kimetokea kwenye hiyo picha kwa maneo yasiyopungua 30 atakaepata namtumia dola 2 kwenye simu yake
 
si ungetoa full picha mpaka miguun!ili tujue kweli katendwa?
mkuu katafute kitabu kinachoitwa "The call of the wild". avatar yako inanifurahisha sana and i end up reading the said book because therein is where a truly friendship between man and dog is described. once again i salute
 
Ntakitafuta bosi
 
Back
Top Bottom