Je, ni kweli watumishi wa benki ndio wanaongoza kwa kuwa na msongo wa mawazo?

Djob Nkondo

JF-Expert Member
Jan 25, 2015
232
181
Katika pilikapilika zangu za maisha nimekua na marafiki kadhaa, watumishi wa benki ndogo, za kati na kubwa.

Nimebaini wengi kwa nje wana onekana wenye furaha na wana enjoy maisha lakini nimebaini wengi wao wanasumbuliwa na msongo wa mawazo, sonona, majuto n.k.

Je, ni kweli?
 
Wanatamani zile pesa wanazosishika shika ziwe zao
 
Back
Top Bottom