Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

Wewe nae huelewi au?!kwa makonda wanaenda watu waliotelekezwa sio kulalamika hela haitoshi...matunzo ya mtoto unatoa kutokana na uwezo wa kipato chako
Mkuu hayo nimeshamweleza haelewi . Shida ni kuwa hii issue wife hajui, akijua hii ndoa itakuwa at high risk! Nahitaji kuwa stable family
 
Laki 2 kwa mwezi.haitoshi?? Au umekuja kutoa kiki kwani akienda utakufa? Kama huna uwezo wa kumpa mil.10 kwa mwezi ufanyaje uibe?? Hata akienda Kuna mahakama zitaangalia kipato chako vs uhalisia...

Nchi hii ina sheria zake haya matamko yatarudi kisheria
Ndio maana Makonda amesema watakuwepo wanasheria pale
 
muache aende ili aridhike cz anatumia hivo kukutishia anaweza kwenda ndyo ikaamliwa umpe hata ndogo zaidi ya hiyo..
 
Laki 2 kwa mwezi.haitoshi?? Au umekuja kutoa kiki kwani akienda utakufa? Kama huna uwezo wa kumpa mil.10 kwa mwezi ufanyaje uibe?? Hata akienda Kuna mahakama zitaangalia kipato chako vs uhalisia...

Nchi hii ina sheria zake haya matamko yatarudi kisheria
Mkuu huwezi amini biashara zenyewe ni shida.. nikituma leo elfu 40, after two days simu zinaanza kupigwa mfululizo.. maisha magumu
 
Bora aende we kwa nini umfiche mkeo kuwa una mtoto wa miaka mitano mpaka sasa???? Ungekuwa mkweli kwa mkeo huyo mtoto ungemlea mwenyewe.
Unajua nilizaa nikiwa nimeshaoa, na wife ananiamini sana, so kumwambia kunahitaji utulivu yaani nilitaka nimnunulie zawadi kubwa ndio nimwambie ila kwa sasa hali ni ngumu
 
Mwanangu,acha kuogopa...mwambie nenda kwa Bashite na usipoenda nitakuja kukupiga kwa kunitishia
Lkn tatzo jingine ninaloliona hapo ni kuwa 'huyo mwanamke ni m2 wa viwanja na starehe sana so,hata ukimpa fedha nyingi haziwezi kumtosha
Fanya maamuzi kama mwanaume!
Ni kweli mzarami huyu valuvalu.. shida issue kujulikana kwa jamii katika kipindi ambacho mm sikuwa tayari mzee baba
 
Kaka laki 2 kwa mwezi kubwa sana ukizingatia tayar unafamilia muache aende tena pengine itakuwa hafueni kwako maana makonda anaweza kukuamuru ulipe 50 kwa mwezi badala ya hyo laki 2.
 
Shida hapo si kwenda kwa Mkubwa ila unaogopa Wife wako atajua kwa kuwa mambo yatakuwa hadharani.Wahi mapema mwambie mkeo una mtoto nje hilo tatizo lako litaisha.
Sio rahisi kihivo kumwambia wife
 
Mzee mbona unafanywa mdogo kama pilitoni AF unakbali kizembe? Halaf kwnza yeye anafanya kazi gani?
 
Kama mtoto anaumwa umwa mkatie bima ya afya ya NHIF kwa watoto ni 54,500/= tu kwa mwaka...
Then matumizi tuma 120,000/= kwa mwezi....
Tafuta namna ya kumuambia mkeo una mtoto nje...
Wanakatia wapi mkuu
 
Ni kweli mzarami huyu valuvalu.. shida issue kujulikana kwa jamii katika kipindi ambacho mm sikuwa tayari mzee baba
Sasa unapompa fedha za matumizi uwe unamuingizia kwenye account,baada ya hapo unaitoa-copy deposit slip...original unampa yeye na nakala unabaki nayo kwa sababu anaweza kukupeleka kwenye vyombo vya dola (police, ustawi wa jamii,kwa Bashite) na akifka huko anakana kuwa hujawahi kumpatia fedha za matumizi,lkn kama utakuwa na nakala ya deposit slip itakulinda

Pia,huyu mwanamke anaweza kuja kumdanganya mtoto kwa kumjaza maneno 'baba yako m2 mbaya sana hawahi kutoa hata mia ya sabuni tangu ulipozaliwa,yeye tangu ujana wake ni m2 wa kuhangaika na wanawake tu"
 
Back
Top Bottom