Haya sasa,...gharama zote/Huduma ulizokuwa unampatia mama mtt wako ulikuwa unaziwekea record yoyote ya kuonesha labda malipo yaliyofanyika???Ukimaliza nipe ushauri wako, nauhitaji sana.
Ni mpesa tu, account yenyewe hanaSasa unapompa fedha za matumizi uwe unamuingizia kwenye account,baada ya hapo unaitoa-copy deposit slip...original unampa yeye na nakala unabaki nayo kwa sababu anaweza kukupeleka kwenye vyombo vya dola (police, ustawi wa jamii,kwa Bashite) na akifka huko anakana kuwa hujawahi kumpatia fedha za matumizi,lkn kama utakuwa na nakala ya deposit slip itakulinda
Pia,huyu mwanamke anaweza kuja kumdanganya mtoto kwa kumjaza maneno 'baba yako m2 mbaya sana hawahi kutoa hata mia ya sabuni tangu ulipozaliwa,yeye tangu ujana wake ni m2 wa kuhangaika na wanawake tu"
Kweli jamiiforum ni zaidi ya ujuzi, nitazingatia hiliSheria ya nnchi kupitia ustawi wa jamii ni elfu 75 kwa mweziiii. Kwanza laki 2 unampendelea sana mm wife wangu alikimbia akaenda nikamwambia nenda nikaweka mwanasheria sasa anaambulia elfu 75 tu basi.
Endelea kuzitunza,.halafu ikiwezekana leo mwambie "nikusindikize" mzazi mwenzangu,. 🙂 🙂Hapa nina baadhi ya sms za mpesa tu.. kwani huwa sifuti sms
Wife tena[emoji15] [emoji15]
Msg za kwenye cm c'yo guarantee/hazipo secured;cm ikipotea na ushahidi unapotea,pia m2 anaweza kuzifuta hata mtoto au akichezea cm anaweza kuzifuta kwa bahati mbayaHapa nina baadhi ya sms za mpesa tu.. kwani huwa sifuti sms
Tembelea ofisi za NHIF zilizo karibu yako...Wanakatia wapi mkuu
Mwache aende ataumbuka yeye. Mbaya zaidi ushamwonyesha uoga na amepata pa kukukamatia. Huyo anakutishia tu na haingii kwenye kundi la watu wa makonda. Kwanza usikute huyo mtoto sio wako unalelea wengine aisee. Pole sana. Mi ngesha mdelete siku nyingi na aende popote pale maana MTU asiye na shukrani hudhalilika vibaya. Hiyo laki 2 nyingi sana mkuu kwa MTU kama huyo. Ungepunguza weee mpaka iwe zero kama anaendelea na mambo ya ajabu. Akikupeleka we mkane tu Dadeki na hawezi kwenda anakutishia kitoto totoIlikuwa kama utani mwaka 2013 tukiwa kwenye daladala za Kimara _ Posta. Nilimtongoza akanitunuku na mimba ya mtoto wa kike ikapatika na akajifungua salama salmini.
Kifupi nimekuwa nikitoa huduma zote kwa huyu mchepuko tokea akiwa mjamzito na nahudumia kwa kutoa kama laki mbili na nusu kila mwezi, lakini haridhiki kabisa anasema fedha haitoshi sababu mtoto anaugua mara kwa mara na mimi nilishamwambia siwezi toa zaidi ya hapo coz hata wife hamjui na nina watoto wengine kwa wife.
Tatizo ni tokea Makonda atangaze kuwa wanawake waliotelekezewa watoto wakatoe taarifa, aisee the whole week am at high risk... nalala kwa shida ni mawazo tu hadi wife kanistukia.. Ni ananitishia kila siku simu haziishi kuwa jumatatu atakuwa wa kwanza kunireport kwa Makonda, na mzaramo huyu kichwa chake artena haipo sawa najua hatanii ataenda tu, nimejaribu kumtumia rafiki yake amshauri imeshindika. Jana jioni nimemtumia laki moja, asubuhi hii kanitumia sms... "unajua kulea wewe? Umenitumia vihela vya mboga hivi huoni wanaume wenzio wanavyotoa? Unajua Mobeto anapewa sh ngapi kwa siku? Kwa taarifa yako hii ni nauli ya tax kesho kwenda kwa Makonda"... wakuu hapa nakaribia kuwa chizi sometime najikuta naongea alone... Ushauri tafadhali..
Kazi unayo mkuu.Unajua Mobeto anapewa sh ngapi kwa siku? Kwa taarifa yako hii ni nauli ya tax kesho kwenda kwa Makonda"... wakuu hapa nakaribia kuwa chizi sometime najikuta naongea alone... Ushauri tafadhali..