Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

Ilikuwa kama utani mwaka 2013 tukiwa kwenye daladala za Kimara - Posta. Nilimtongoza akanitunuku na mimba ya mtoto wa kike ikapatika na akajifungua salama salmini.

Kifupi nimekuwa nikitoa huduma zote kwa huyu mchepuko tokea akiwa mjamzito na nahudumia kwa kutoa kama laki mbili na nusu kila mwezi, lakini haridhiki kabisa anasema fedha haitoshi sababu mtoto anaugua mara kwa mara na mimi nilishamwambia siwezi toa zaidi ya hapo coz hata wife hamjui na nina watoto wengine kwa wife.

Tatizo ni tokea Makonda atangaze kuwa wanawake waliotelekezewa watoto wakatoe taarifa, aisee the whole week am at high risk... nalala kwa shida ni mawazo tu hadi wife kanistukia.. Ni ananitishia kila siku simu haziishi kuwa jumatatu atakuwa wa kwanza kunireport kwa Makonda, na mzaramo huyu kichwa chake antena haipo sawa najua hatanii ataenda tu. Nimejaribu kumtumia rafiki yake amshauri imeshindika.

Jana jioni nimemtumia laki moja, asubuhi hii kanitumia sms... "Unajua kulea wewe? Umenitumia vihela vya mboga hivi huoni wanaume wenzio wanavyotoa? Unajua Mobetto anapewa sh ngapi kwa siku? Kwa taarifa yako hii ni nauli ya tax kesho kwenda kwa Makonda"...

Wakuu hapa nakaribia kuwa chizi sometime najikuta naongea alone. Ushauri tafadhali.
Mwache aende kumbe na ww muoga hivyo? Kwan yy ni mabeto? Achana naye liwalo na liwe
 
Kumwambia wife ni ngumu mnooo
Unachekesha kumwambia ni ngumu ila kuvua na kudumbikiza liuume lako kwingineko ni rahisi nyie ndo huwa mazezeta tu sema una ndevu oooh namuogopa wife ungemuogopa ukawa unamtilia uume wako kwake tu,

usitusumbue ebo
 
Ilikuwa kama utani mwaka 2013 tukiwa kwenye daladala za Kimara - Posta. Nilimtongoza akanitunuku na mimba ya mtoto wa kike ikapatika na akajifungua salama salmini.

Kifupi nimekuwa nikitoa huduma zote kwa huyu mchepuko tokea akiwa mjamzito na nahudumia kwa kutoa kama laki mbili na nusu kila mwezi, lakini haridhiki kabisa anasema fedha haitoshi sababu mtoto anaugua mara kwa mara na mimi nilishamwambia siwezi toa zaidi ya hapo coz hata wife hamjui na nina watoto wengine kwa wife.

Tatizo ni tokea Makonda atangaze kuwa wanawake waliotelekezewa watoto wakatoe taarifa, aisee the whole week am at high risk... nalala kwa shida ni mawazo tu hadi wife kanistukia.. Ni ananitishia kila siku simu haziishi kuwa jumatatu atakuwa wa kwanza kunireport kwa Makonda, na mzaramo huyu kichwa chake antena haipo sawa najua hatanii ataenda tu. Nimejaribu kumtumia rafiki yake amshauri imeshindika.

Jana jioni nimemtumia laki moja, asubuhi hii kanitumia sms... "Unajua kulea wewe? Umenitumia vihela vya mboga hivi huoni wanaume wenzio wanavyotoa? Unajua Mobetto anapewa sh ngapi kwa siku? Kwa taarifa yako hii ni nauli ya tax kesho kwenda kwa Makonda"...

Wakuu hapa nakaribia kuwa chizi sometime najikuta naongea alone. Ushauri tafadhali.
Mwache aende kumbe na ww muoga hivyo? Kwan yy ni mabeto? Achana naye liwalo na liwe
 
Ameamua tu kukukomoa.Hana shukrani cha kufanya kachukue mtoto umpeleke kwa bibi ake na mkeo umpe taarifa kuwa umezaa nje
 
Sasa unapompa fedha za matumizi uwe unamuingizia kwenye account,baada ya hapo unaitoa-copy deposit slip...original unampa yeye na nakala unabaki nayo kwa sababu anaweza kukupeleka kwenye vyombo vya dola (police, ustawi wa jamii,kwa Bashite) na akifka huko anakana kuwa hujawahi kumpatia fedha za matumizi,lkn kama utakuwa na nakala ya deposit slip itakulinda

Pia,huyu mwanamke anaweza kuja kumdanganya mtoto kwa kumjaza maneno 'baba yako m2 mbaya sana hawahi kutoa hata mia ya sabuni tangu ulipozaliwa,yeye tangu ujana wake ni m2 wa kuhangaika na wanawake tu"
Huu ushauri muhimu sana auzingatie. Watu hubadilika wanapotaka huruma mbele ya jamii.
 
Wanwake wa kizaramo nati zililegeaga long time.
Ila hiyo robo milioni unayompa ni nyingi sana .hata kama anachangia shughuli na kununu dela kila mwezi bado atabaki na chenji

Achana naye huyo mzaramo, fanya yako na mke mwenye akili

Kama kakujambisha kidogo tu na wewe umeingia mazima inaonekana hata wewe ni fala na amejua hivyo.

Tumia ujasiri huohuo kumshiti kama ujasiri uliotumia kumla mzaramo kavu Mpaka mimba
 
Mkuu ni mengi hapa sijasema yote, kuna mamaake mdogo ni zaidi ya mcharuko
Hizo laki mbili unazotoaga kuna evidence? Some sort of record? Kama ndio, then sit back, relax na waangalie tu. Mwambie huyo mama mdogo ahangaike na maisha yake.
 
Kama ni kweki basi unaendekeza ujinga mwenyewe mkuu, mwambie unatafuta pesa mkapime DNA unamashaka na mtoto huyo na umesitisha huduma rasmi, pia mwambie makubaliano siku mlizofanya ngono haikuwa kupata mtoto ila kwa stare ndio maana ulikuwa ukimlipa ujira wake na hukuwa na shida na watoto.
 
Ilikuwa kama utani mwaka 2013 tukiwa kwenye daladala za Kimara - Posta. Nilimtongoza akanitunuku na mimba ya mtoto wa kike ikapatika na akajifungua salama salmini.

Kifupi nimekuwa nikitoa huduma zote kwa huyu mchepuko tokea akiwa mjamzito na nahudumia kwa kutoa kama laki mbili na nusu kila mwezi, lakini haridhiki kabisa anasema fedha haitoshi sababu mtoto anaugua mara kwa mara na mimi nilishamwambia siwezi toa zaidi ya hapo coz hata wife hamjui na nina watoto wengine kwa wife.

Tatizo ni tokea Makonda atangaze kuwa wanawake waliotelekezewa watoto wakatoe taarifa, aisee the whole week am at high risk... nalala kwa shida ni mawazo tu hadi wife kanistukia.. Ni ananitishia kila siku simu haziishi kuwa jumatatu atakuwa wa kwanza kunireport kwa Makonda, na mzaramo huyu kichwa chake antena haipo sawa najua hatanii ataenda tu. Nimejaribu kumtumia rafiki yake amshauri imeshindika.

Jana jioni nimemtumia laki moja, asubuhi hii kanitumia sms... "Unajua kulea wewe? Umenitumia vihela vya mboga hivi huoni wanaume wenzio wanavyotoa? Unajua Mobetto anapewa sh ngapi kwa siku? Kwa taarifa yako hii ni nauli ya tax kesho kwenda kwa Makonda"...

Wakuu hapa nakaribia kuwa chizi sometime najikuta naongea alone. Ushauri tafadhali.
Man anatumia huyo mtoto kama fimbo ya kukuchapia. My advice break contact, let her go kwa huyo makonda huko huko unamgeuzia story.
 
Mtoto ni copyright wala haiihitaji dna mkuu

We lea tu lakini asikufanye m pesa, usikubali Mwanao awe na kumbu kumbu kuwa ulimkataaa so ukiwa naye mpe quality time
Maana kuna wamama always talks negatively about baba wa mtoto
 
Duh... nimwache wife nimtoe out mchepuko!!! Sijawahi na sifikirii

Toka na mwanao sio mchepuko nenda mchukue mpe memories jioni mrudishe
Ukishindwa kumpa raha mwanao akiwa below 7 hatakuja akupende kwa Moyo kwakua mambo unayomfanyia mtoto akiwa umri Huo hatakuja kusahau hadi uZee and he will always support u no matter what
That’s a psychological fact kuna wakati Michael Jackson alikuwa anamlaumu Baba yake tena mwisho mwisho hapa kuwa yuko alivyo kwakua Baba yake hakumpa fursa ya kufurahia utoto akiwa na miaka mitano alikuwa yeye ndio star wa Jackson five na ilibidi muda wa wenzake kucheza afanye mazoezi muda wa kulala aende kuimba night clubs enzi hizo hapakua na sheria kali
“ .... my childhood was stolen out of me and will never forgive my father for that ...” hakuwahi kumpendaa baba yake ,alikuwa anampendaa mama aliaminii babaa alimtumiaa tu
 
Ilikuwa kama utani mwaka 2013 tukiwa kwenye daladala za Kimara - Posta. Nilimtongoza akanitunuku na mimba ya mtoto wa kike ikapatika na akajifungua salama salmini.

Kifupi nimekuwa nikitoa huduma zote kwa huyu mchepuko tokea akiwa mjamzito na nahudumia kwa kutoa kama laki mbili na nusu kila mwezi, lakini haridhiki kabisa anasema fedha haitoshi sababu mtoto anaugua mara kwa mara na mimi nilishamwambia siwezi toa zaidi ya hapo coz hata wife hamjui na nina watoto wengine kwa wife.

Tatizo ni tokea Makonda atangaze kuwa wanawake waliotelekezewa watoto wakatoe taarifa, aisee the whole week am at high risk... nalala kwa shida ni mawazo tu hadi wife kanistukia.. Ni ananitishia kila siku simu haziishi kuwa jumatatu atakuwa wa kwanza kunireport kwa Makonda, na mzaramo huyu kichwa chake antena haipo sawa najua hatanii ataenda tu. Nimejaribu kumtumia rafiki yake amshauri imeshindika.

Jana jioni nimemtumia laki moja, asubuhi hii kanitumia sms... "Unajua kulea wewe? Umenitumia vihela vya mboga hivi huoni wanaume wenzio wanavyotoa? Unajua Mobetto anapewa sh ngapi kwa siku? Kwa taarifa yako hii ni nauli ya tax kesho kwenda kwa Makonda"...

Wakuu hapa nakaribia kuwa chizi sometime najikuta naongea alone. Ushauri tafadhali.
Kwan huyo chokooo kasema waripotiwe wanaokataa kuwahudumia hao wamama?au wanaowazalisha kama jib ni wanaokataa kuwahudumia mkuuu mbn jib ni rahisi Tu unataka tena ushaur wann?jiongezeee mkuuu
 
Mkuu uko vizuri kiuchumi, unamudu kutoa 250K monthly kwa mchepuko
 
Ilikuwa kama utani mwaka 2013 tukiwa kwenye daladala za Kimara - Posta. Nilimtongoza akanitunuku na mimba ya mtoto wa kike ikapatika na akajifungua salama salmini.

Kifupi nimekuwa nikitoa huduma zote kwa huyu mchepuko tokea akiwa mjamzito na nahudumia kwa kutoa kama laki mbili na nusu kila mwezi, lakini haridhiki kabisa anasema fedha haitoshi sababu mtoto anaugua mara kwa mara na mimi nilishamwambia siwezi toa zaidi ya hapo coz hata wife hamjui na nina watoto wengine kwa wife.

Tatizo ni tokea Makonda atangaze kuwa wanawake waliotelekezewa watoto wakatoe taarifa, aisee the whole week am at high risk... nalala kwa shida ni mawazo tu hadi wife kanistukia.. Ni ananitishia kila siku simu haziishi kuwa jumatatu atakuwa wa kwanza kunireport kwa Makonda, na mzaramo huyu kichwa chake antena haipo sawa najua hatanii ataenda tu. Nimejaribu kumtumia rafiki yake amshauri imeshindika.

Jana jioni nimemtumia laki moja, asubuhi hii kanitumia sms... "Unajua kulea wewe? Umenitumia vihela vya mboga hivi huoni wanaume wenzio wanavyotoa? Unajua Mobetto anapewa sh ngapi kwa siku? Kwa taarifa yako hii ni nauli ya tax kesho kwenda kwa Makonda"...

Wakuu hapa nakaribia kuwa chizi sometime najikuta naongea alone. Ushauri tafadhali.
Ingawa si support sana michepuko na kuzaa nje ya ndoa.,nikusaidie tu kuwa huyo mwambie aende kwa anakotaka kwenda maana hujamtelekeza unamuhudumia kwa hicho kidogo ulichonacho kama anaona haitoshi omba umchukue mtoto umlee maana anataka kukulinganisha na diamond.Kama alitaka hela nyingi si angeenda kuzaa na diamond ?PIA NDUGU SI VEMA KUMFICHA MKEO ISSUE SENSITIVE KAMA YA MTOTO.UNATAKA KUJA KUMWAMBIA LINI KUWA UNA MTOTO NJE?MMAANA ATAKUJA KUJUA TU SI NI BORA UMWAMBIE MWENYEWE SASAHIVI KULIKO AJE ASIKIE KWA WATU WENGINE?ITAMUUMIZA SANA NA NDO MWANZO WA KUPOTEZA UAMINIFU KWAKO.MI NAKUSHAURI MWAMBIE MKEO NA MAPEMA HII ILI UWE HURU HAPO UNAPATA PRESSURE SABABU MKE HAJUI SI SABABU YA KUPELEKWA KWA MKUU WA MKOA.
 
Huko wanaenda waliotelekezwa.
Tena muende kabisa akapunguziwe matumizi.
Maana kutokana na kipato cha baba kila mtoto huwa ana percentage yake.

Kuna demu alikuwa anapewa laki 2 na jamaa kulea mtoto akawa haridhiki.
Akashtaki ustawi wa jamii, baada ya kufanya calculation ya mapato ya jamaa ikaonekana inatakiwa apewe 80000.

Ikabidi aanze kubembeleza jamaa kuwa aendelee kumpa ile ile!!!
 
Acha usnge we mwambie aende kama anayo jeuri unapigwaje biti na demu cccuma wewe
 
Hujatelekeza mtoto hakuna kesi hapo kama taarifa za miamala zipo itakuwa rahisi zaid kama hamna kutakuwa na usumbufu kidogo mpaka service provider waprove
 
Back
Top Bottom