Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

Ilikuwa kama utani mwaka 2013 tukiwa kwenye daladala za Kimara _ Posta. Nilimtongoza akanitunuku na mimba ya mtoto wa kike ikapatika na akajifungua salama salmini.
Kifupi nimekuwa nikitoa huduma zote kwa huyu mchepuko tokea akiwa mjamzito na nahudumia kwa kutoa kama laki mbili na nusu kila mwezi, lakini haridhiki kabisa anasema fedha haitoshi sababu mtoto anaugua mara kwa mara na mimi nilishamwambia siwezi toa zaidi ya hapo coz hata wife hamjui na nina watoto wengine kwa wife.

Tatizo ni tokea Makonda atangaze kuwa wanawake waliotelekezewa watoto wakatoe taarifa, aisee the whole week am at high risk... nalala kwa shida ni mawazo tu hadi wife kanistukia.. Ni ananitishia kila siku simu haziishi kuwa jumatatu atakuwa wa kwanza kunireport kwa Makonda, na mzaramo huyu kichwa chake artena haipo sawa najua hatanii ataenda tu, nimejaribu kumtumia rafiki yake amshauri imeshindika. Jana jioni nimemtumia laki moja, asubuhi hii kanitumia sms... "unajua kulea wewe? Umenitumia vihela vya mboga hivi huoni wanaume wenzio wanavyotoa? Unajua Mobeto anapewa sh ngapi kwa siku? Kwa taarifa yako hii ni nauli ya tax kesho kwenda kwa Makonda"... wakuu hapa nakaribia kuwa chizi sometime najikuta naongea alone... Ushauri tafadhali..
Wewe hujamtelekeza Sema haridhiki tu, hofu yako nini? Mke kujua?
 
Itunze hio mesej ya mwamala wa pesa uliomtumia kama ushahidi wako
Kingine—ameshajuwa werkness yako ndio maana anakuendesha kama gari bovu
Akikwambia ataenda kwa makonda kukuripoti
Mjibu—Mbona umechelewa?changamka sasa hivi uwende
Tatazo anakudesh kidoogo wewe mavi debe
Kila unavozidi kumpliz ndio unazidi kumpa bichwa[emoji1321]
Hayajakukuta mzee baba
 
sasa na wewe ulimpa mimba ya nini na pesa ya kulea mtoto huna laki mbili kweli haitoshi ongeza ongeza kidogo
Haitoshi!!!... mm sio diamond mzee baba
 
Ilikuwa kama utani mwaka 2013 tukiwa kwenye daladala za Kimara _ Posta. Nilimtongoza akanitunuku na mimba ya mtoto wa kike ikapatika na akajifungua salama salmini.
Kifupi nimekuwa nikitoa huduma zote kwa huyu mchepuko tokea akiwa mjamzito na nahudumia kwa kutoa kama laki mbili na nusu kila mwezi, lakini haridhiki kabisa anasema fedha haitoshi sababu mtoto anaugua mara kwa mara na mimi nilishamwambia siwezi toa zaidi ya hapo coz hata wife hamjui na nina watoto wengine kwa wife.

Tatizo ni tokea Makonda atangaze kuwa wanawake waliotelekezewa watoto wakatoe taarifa, aisee the whole week am at high risk... nalala kwa shida ni mawazo tu hadi wife kanistukia.. Ni ananitishia kila siku simu haziishi kuwa jumatatu atakuwa wa kwanza kunireport kwa Makonda, na mzaramo huyu kichwa chake artena haipo sawa najua hatanii ataenda tu, nimejaribu kumtumia rafiki yake amshauri imeshindika. Jana jioni nimemtumia laki moja, asubuhi hii kanitumia sms... "unajua kulea wewe? Umenitumia vihela vya mboga hivi huoni wanaume wenzio wanavyotoa? Unajua Mobeto anapewa sh ngapi kwa siku? Kwa taarifa yako hii ni nauli ya tax kesho kwenda kwa Makonda"... wakuu hapa nakaribia kuwa chizi sometime najikuta naongea alone... Ushauri tafadhali..
Kaka huwa unavuta bangi mbichi au kavu??, NB; wewe umepewa dawa na huyo mwanamke sio bure, laki mbili na nusu per mda gn????
 
Wanawake wengi Wa kizaramo madish yao yameyumba
Sure ila huyu ni zaidi ya kuyumba... akipiga simu hapa anaweza kuongea lisaa lizima hapo ni shombo tu...
 
Ukifika usikatae bali mwambie wapime DNA na cheti cha kuzaliwa mtoto apeleke
Maana siku hizi wapo wadada mtoto mmoja anawapakazia wababa watatu kila mmoja anakuwa na cheti cha clinic Ila cheti cha kuZaliwa hana ujanja huwa kimoja na yeye huendelea kuchukua matunzo kote
Mtoto ni copyright wala haiihitaji dna mkuu
 
Kumuambia mke una mtoto nje wakati hajawahi kuwa na shida ya uzazii ni kumtonesha na kumtuma naye akuletew mtoto wa nje Kwa hasira , hiyo sisi tuliofundishwa na wazee wanasema unasubiri hadi afike miaka 45 kwenda juu , umri huo mwanamke anakua na utu uzima fulani na hawezi kuondoka Nyumbani na hata matamanio yake ya ngono yanaanza kushuka na pia pengine sio rahisi kutaka kukukomoa kwa kwenda nje na mtoto atakuwa amekua Mkubwa hivyo kwake haihitaji kukesha na kumkoshaaa
Na hutakiwi umuambiaa wewe unatuma wapambe wanampelekea kama umbeaa , Sasa akikuuliza nawe unasema “ni kweli mke wangu hizo fununu nazisikia Ila sijawahi kumuona pengine sio wangu hadi nimuone”
Kwa busara zake lazima atakuambiaa mlete akae na Ndugu zake
Mkuu tupo pamoja, yaani natamani nimnunulie hata kav8 ndio nimwambie
 
Akienda kwa Makonda huyu utaitwa kupongezwa na probably kuambiwa upunguze na uwe unampa laki tu. Mwambie hiyo Jumatatu akusubiri umsindikize. Jaribu pia kuwa mwanaume. Yaani kijimkwara mbuzi hicho ndo cha kukufanya ukaribie level za Nabii Tito!?
Mkuu ni mengi hapa sijasema yote, kuna mamaake mdogo ni zaidi ya mcharuko
 
Uwe na huruma kwa damu yako kama pesa unazo usiangalie hilo japo kuna wamama hufanya watoto mradi anakuomba pesa anakuambia mtoto hiki mtoto kile kumbe anaenda kula na mabwana wewe lipa Kila kitu direct na kila wiki watoe our na hiyo 75 ndio yeye ataamuaa kama anywee au ahonge
Duh... nimwache wife nimtoe out mchepuko!!! Sijawahi na sifikirii
 
Ongea na mkeo kuhus kuzaa nje. Atakuelewa tu ingawa itamuumiza. Kisha anza utaratibu wa kumchukua mtoto wako. Ukifika ustawi wa jamii waambie mazingira anayoishi mtoto wako si salama. So unataka kumlea mwenyewe. Na uwezo wako n kumlea mtoto tu si na mama ake. Kwa mwezi unaweza kutoa sh 150,000 kw Matumizi ya mtoto.
Mkatie bima ya Afya mtoto n sh 52000
Kumwambia wife ni ngumu mnooo
 
Umemtelekezaje kama matumizi unampa? Au anataka utoe pesa hadi za kula mama yake, baba yake, dada zake, kaka zake babu yake, bibi yake,

Tuliza boli , huyo haendi popote na kama akienda wewe bado upo sahihi kwani matunzo unampa,
 
Back
Top Bottom