huyu ndege nampenda sana
kibaruani kwangu wapo wengi mno
natumia dk chache kuwafuatilia maisha yao.
1. Kwanza wanajenga kwenye miti ya miba
for security purposes, hakuna kiumbe kinaweza kuwasogelea juu ya hiyo miba.
2. Wanatumia midomo kujenga viota vyao
wanajenga hasa yaani ni very attractive, materials ni aina hiyo hiyo ya nyasi hawachanganyi.
3. Kiota kikizeeka wanakibomoa kwa kutumia midomo
na sasa ili kidondoke chini
inabidi aingie ndani kama kuongeza uzito then kinadondoka. Ni zoezi hasa.
Yapo mengi sana plus vipi wakipata watoto na je watoto wakikuwa wakubwa, wazazi wanafanyaje?
Kuna muda huwa naishia kusema MUNGU hakika ni MUNGU.