Majuma Mawili ya Uchungu Mwingi kwa Amerika Yanakuja

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Hii ni Updates za Special Task Force dhidi ya Corona Virus kwa Amerika.

Raisi Trump na Dr Fauci wanataarifu Majuma Mawili yajayo yatakua ya Uchungu Mkuu kwa Watu wa Amerika ambapo inakadiriwa kiasi cha Watu wapatao zaidi ya Laki Moja watapoteza Maisha.

Na pia ndio inakadiriwa kua ndio itakua (Peak) kilele cha Ugonjwa huu wa Corona Virus kwa wa Amerika.

Amewaomba Watu wa Amerika wajiandae Kisaikolojia kupokea Msiba huu Mzito na Mgumu sana unaokuja.

"Mungu Aturehemu Atuepushe na Hili Janga" .

Sema "AMEN"
 
Huo ni upumbavu wa DEMS tu, wanataka Trump atangaze lockdown na Trump anajua anachokifanya.
Akiweka watu ndani uchumi utashuka itakuwa ajenga ya DEMS kwenye campaigns.

Dems watafumuka vibaya sana huu uchaguzi unaokuja

Lakini hata Trump mwenyewe ametahadharisha hivyo. Ila ametoa matumaini pia huenda ndio ikawa peak maana yake baada ya hapo tatizo litaanza kupungua.
 
Source

Source ? Usituletee utibisii plz
 
Lakini hata Trump mwenyewe ametahadharisha hivyo. Ila ametoa matumaini pia huenda ndio ikawa peak maana yake baada ya hapo tatizo litaanza kupungua.
Just go back and look at what Joe Biden And Nancy Pelosi were saying when Trump stopped Travel from China early.

Vifo vitatokea ila lockdown ni solution ya mwisho sana akicheza DEMS watamshinda
 
Hii ni Updates za Special Task Force dhidi ya Corona Virus kwa Amerika.

Raisi Trump na Dr Fauci wanataarifu Majuma Mawili yajayo yatakua ya Uchungu Mkuu kwa Watu wa Amerika ambapo inakadiriwa kiasi cha Watu wapatao zaidi ya Laki Moja watapoteza Maisha.

Na pia ndio inakadiriwa kua ndio itakua (Peak) kilele cha Ugonjwa huu wa Corona Virus kwa wa Amerika.

Amewaomba Watu wa Amerika wajiandae Kisaikolojia kupokea Msiba huu Mzito na Mgumu sana unaokuja.

"Mungu Aturehemu Atuepushe na Hili Janga" .

Sema "AMEN"
Ni kweli cnn wanazungumzia hilo muda huu nimeamka nione ila umetia chumvi kwa makusudi au huelewi kingereza
 
Just go back and look at what Joe Biden And Nancy Pelosi were saying when Trump stopped Travel from China early.

Vifo vitatokea ila lockdown ni solution ya mwisho sana akicheza DEMS watamshinda

Naona kama Trump na Jopo lake lote la kikosi maalumu dhidi ya corana wameshaona janja ya DEMS na wako makini sana. Trump anawajibu vizuri sana hawa wanahabari waliopo kwenye hii Press conference ambao inaonekana kama wanaegemea kwa DEMS sana.
 
Poor Americans!!! Superpower nation...You're now forced to abase yourself before a useless virus... You should now keep in mind that other nations are your backup system in case anything goes wrong...Didn't those Chinese provide any support? I wonder why your figures grow exponentially.
God bless Tanzania
God save the US
God save the entire world.
 
Huo ni upumbavu wa DEMS tu, wanataka Trump atangaze lockdown na Trump anajua anachokifanya.
Akiweka watu ndani uchumi utashuka itakuwa ajenga ya DEMS kwenye campaigns.

Dems watafumuka vibaya sana huu uchaguzi unaokuja
Kukurupuka kubaya sana asee kama DT Mwenyewe Katoa Tahadhari Juu Yatatizo Wewe Nani Unapinga

Siasa na Dini Zishawatia Upofu Maskini

Sent using My COVID-19
 
says the cnn troll 😂😂 how far right of you.
 
Hii ni Updates za Special Task Force dhidi ya Corona Virus kwa Amerika.

Raisi Trump na Dr Fauci wanataarifu Majuma Mawili yajayo yatakua ya Uchungu Mkuu kwa Watu wa Amerika ambapo inakadiriwa kiasi cha Watu wapatao zaidi ya Laki Moja watapoteza Maisha.

Na pia ndio inakadiriwa kua ndio itakua (Peak) kilele cha Ugonjwa huu wa Corona Virus kwa wa Amerika.

Amewaomba Watu wa Amerika wajiandae Kisaikolojia kupokea Msiba huu Mzito na Mgumu sana unaokuja.

"Mungu Aturehemu Atuepushe na Hili Janga" .

Sema "AMEN"
Leo tayari vimefika zaidi ya vifo 4000 waliokufa kwa leo tu ni 900+
 
Back
Top Bottom