Marekani yakadiria kwa uchache watu wake laki moja watakufa kutokana na Corona

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Nimesikilza breafing kutoka USA Special Task Force dhidi ya corona.

Wanasema huenda kwa kiwango cha chini kabisa cha Vifo vitokanavyo na Corona Virusi kikawa watu wapatao laki moja 100,000+ au zaidi.

Na Kilele cha Ugonjwa huu inatazamiwa kufikiwa ndani ya muda wa majuma mawili kutokea sasa, kwa makisio itakua katikati ya mwezi wa Nne.

Wanataarifu pia kama Hatua madhubuti walizozichukua sasa zisingechukuliwa basi Idadi ya Vifo vitokanavyo na hii Corona Virus busi huenda watu wapatao Milion Mbili na zaid 2,000,000 + Wangepoteza Maisha

Sasa kama kwa USA inatazamiwa kuwa hivi, Hali halisia ya china ni hivyo kweli ilivyo au Taarifa zao ni za Uongo. Ni kweli ni Watu elfu Tatu na zaidi tu ndio waliokufa China. Inanipa kudhani kuna kitu China wanaficha kuhusu Madhara Halisi ya Janga hili.

Pia wanakadiria Janga hili kuwa katika kiwango chake cha chini kabisa Bottom Hill mnamo Mwezi wa Sita June.
 
Asante kwa taarifa, ila ngojea povu la OMO kutoka kwa waMarekani wa Kantalamba.
 
Dah!.. nchi yetu inabidi kutenga rasilimali za kutosha kama dharura maana huko mbeleni hakuna ajuaye kitachojiri.
 
Kwanini corona isiingie pale Lumumba na kusafisha uozo wote halafu isepe zake?
 
Kwa hiyo USA mdo mungu wako wa pili bila shaka
Nimesikilza breafing kutoka USA Special Task Force dhidi ya corona.

Wanasema huenda kwa kiwango cha chini kabisa cha Vifo vitokanavyo na Corona Virusi kikawa watu wapatao laki moja 100,000+ au zaidi.

Na Kilele cha Ugonjwa huu inatazamiwa kufikiwa ndani ya muda wa majuma mawili kutokea sasa, kwa makisio itakua katikati ya mwezi wa Nne.

Wanataarifu pia kama Hatua madhubuti walizozichukua sasa zisingechukuliwa basi Idadi ya Vifo vitokanavyo na hii Corona Virus busi huenda watu wapatao Milion Mbili na zaid 2,000,000 + Wangepoteza Maisha

Sasa kama kwa USA inatazamiwa kuwa hivi, Hali halisia ya china ni hivyo kweli ilivyo au Taarifa zao ni za Uongo. Ni kweli ni Watu elfu Tatu na zaidi tu ndio waliokufa China. Inanipa kudhani kuna kitu China wanaficha kuhusu Madhara Halisi ya Janga hili.

Pia wanakadiria Janga hili kuwa katika kiwango chake cha chini kabisa Bottom Hill mnamo Mwezi wa Sita June.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom