Hii kitu changamoto sana na wengi wanakutana nayo
Mimi binafsi nasaidia ila kuna limit
Na msimamo wangu
Mfano kuna dogo moja alikuwa kutwa anataka msaada sawa nkawa namsaidia,ila kuna mchongo nliupata gairo nkamstua nkamchomeka huko
Huko sasa nkamwambia apambane
Akifeli asitegeme mambo ya msaada
Kweli dogo mpaka sasa anakaza
Kuna ndg wengine unawasaidia maana kutwa wanalia shida,lakini utashangaa kutwa kupata mimba na
Kuzaa mimba kuzaa kha!
Aina ya ndg hao nishawakatia line
Unakuta anatmbn hko anapata mimba
Kwenye kuzaa anataka msaada alafu bwana aliyemtia mimba hata hMsumbui,hiyo nishamkataga kofi ndg mmja
Huwa naamini mambo ya kuzaa zaa bila mpangilio ni kujiletea matatizo tu
Zaa hku umejipanga
Ova