Ile 2015 ilikuwa hakuna namna lazima tungepata Raisi wa kufa akiwa madarakani Magufuli, Membe na Lowasa

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
792
1,266
Nimetafakali sana hi kitu sijui Kwa Nini ilikuwa hivi Yani wote walio taka kugombea uraisi kupitia tiketi ya ccm mwaka 2015 ilikuwa hakuna namna lazima tupate Raisi ambaye angefia madarakani

Angepita Membe angefia madarakani
Angepita Lowasa angefia madarakani
Alipita Magufuli ndio hivyo amefia madarakani

Hata tungemchagua yule mama wa ACT wazalendo pia angefia madarakani

Yani 2015 ilikuwa hakuna namna lazima Tanzania tupate Raisi wa kufia madarakani
 
Back
Top Bottom