Which engineering profession that guy have??Uongo mwingine uache,, dodoma na merelani ndo project zilizompa vyeo mbuge, na kama hujui the guy is brilliant engineer the army have, alitoka kuwa mkuu wa jkt ruvu, akaenda kusimamia ukuta merelani akanda cheo,, akapewa project ya dodoma akapanda vyeo,,for tangu operation merelani amekuwa akijihusisha zaid na ujenzi na sio uongozi,
Na kwa taarifa yako sio yeye anayehusika na kupandisha vyeo, acha kuongea upuuzi wako
Alikuwa mkuu wa JKT kwa kupendekezwa na mabeyo and no one else,,
Akiwa jkt kazi yake ni kusimamia kambi zote za jkt na ufanisi wake,, amefanya kazi bomba sana tangu akiwa msimamiz wa mafunzo ya jkt
Cjui unaongea bang gani
Nahisi ni civil engineer huyoWhich engineering profession that guy have??
Sio...Duuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Naomba kujua jibu la hili swali tafadhali.....Duuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Head Prefect akiteuliwa na Headmaster wa Shule kuwa Class Monitor logically tu hapo anakuwa Promoted au Demoted Ndugu?Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.
Hongera kwake kwa uteuzi!!
Rudia tena mkuu .Duuh, yaani CDF ana salute kwa DC? nlkua sijui hii, kwahyo unataka kusema CDF General Mabeyo sasa ata-salute kwa RC Major General Mbuge? mmh
Huyu jamaa kashushwa sana ,labda angeteuliwa kuwa Balozi au katibu mkuu wizara flani.Habari wanabodi? naomba kupata uelewa kidogo, kwa nafasi kama ya Major General Mbuge kutoka kuwa Mkuu wa JKT na kwenda kuwa RC je hapo kapanda cheo ama kashuka? naomba uelewa wa kina juu ya hili tafadhali.
Hongera kwake kwa uteuzi!!
Mkuu wa mkoa kiprotokali ana-report kwa Waziri wa Tamisemi.Mkuu wa JKT huwasiliana na Rais kupitia kwa CDF, wakati mkuu wa mkoa huwasiliana na rais moja kwa moja! Tofauti kubwa kabisa, labda tusema anapunguzuiwa influence jeshini.
CDF hawezi kumpigia salute mfuasi. Angekuwa RC ni raia salute itahusikaNaomba kujua jibu la hili swali tafadhali.....
Eti ata - "bounce back soon".JKT siyo Kitengo katika JWTZ bali ni moja kati ya Kamandi 5 za JWTZ amabayo kwa kawaida huongozwa na Mwanajeshi mwenye cheo cha Meja Jenerali. Wote hawa ni Wanajeshi ila majukumu ni tofauti. Jukumu la JKT ni Malezi kwa vijana, Ulinzi wa Taifa na Uzalishaji mali. Ikitokea vita wote watavaa nguo za mapambano na watabeba bunduki kwenda vitani. Baadhi ya Wakuu wa Majeshi walipitia katika uongozi wa kamandi hii kama Jenerali Mwamunyange n.k.
Kimajukumu 'scope' ya Ukuu wa JKT ni wa TZ nzima na Ukuu wa Mkoa ni wa Mkoa husika. Ki-hadhi hajashuka kwani bado ni Ofisa wa Jeshi Mwandamizi ambaye amepelekwa kwenye majukumu ya kisiasa.
Kwa kawaida uamuzi kama huu hufanyika ili kumwondoa kwenye majukumu fulani hasa anapoharibu au kufanya kazi fulani ya muda ya siri au dhahiri.
Meja Jenerali Mbuge ni 'Born Town' na umri unaruhusi hivyo ata-'bounce back soon'..
mmmmhHead Prefect akiteuliwa na Headmaster wa Shule kuwa Class Monitor logically tu hapo anakuwa Promoted au Demoted Ndugu?
na mimi nlfkiri kuna mipaka ndo maana nkauliza ili niweze kuelewa na hapo zaidi!!Rudia tena mkuu .
Sijakuelewa,kwamba kila mtuele anapigiwa salute haswa hizi kazi za kisiasa,so kwamba kuna mipaka.?
Mkuu wa mkoa kiprotokali ana-report kwa Waziri wa Tamisemi.
Mawaziri kiprotokali wana-report kwa Waziri Mkuu.
Rais ni mtu mkubwa sana kuanza kuongea na Mkuu wa Mkoa. Unless Rais ndio ampigie RC. Lakini sio RC ampigie Rais.
Mbunge bado Ni mwanajeshi amekuwa seconded tuuuu haimfanyi kuwa senior mbele ya CDF wakeNaomba kujua jibu la hili swali tafadhali.....
Ibughe alikuwa kanali sasa Brigedia yule wa PCCB alikuwa Brigedia sasa ni Meja General tena last weeksHuyu jamaa kashushwa sana ,labda angeteuliwa kuwa Balozi au katibu mkuu wizara flani.
Mama kawala vichwa kuna Ibuge,Mbogo na huyu Mbuge.
Huyu Mbuge alikuwa mzuri kabla Magufuli hajamtumia kutumia JKT kupiga piga wapinzani na kupora kura zao..Ibuge yeye kabugi kwa sababu mataifa yetu yaliingia migogoro ya kidplomasia na mzee wa Takukuru kabambikia watu makesi kama yote.
Nashukuru sanaa mkuu na wala hamna neno kabisaaa asante kwa kunielewesha....Mbunge bado Ni mwanajeshi amekuwa seconded tuuuu haimfanyi kuwa senior mbele ya CDF wake
Kabisaaa inakuwa ngumu sanaa...Hii ndio shida ya watu wa jeshi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Ikitokea reshuffle anapata wakati mgumu. Kurudishwa jeshini inakuwa shida
Mkuu una uelewa mzuri sana tena sana...asante kutuelewesha sisi wengine ambao kidogo tupo nyuma ya haya mambo....Ibughe alikuwa kanali sasa Brigedia yule wa PCCB alikuwa Brigedia sasa ni Meja General tena last weeks
Mara nyingi kijeshi ukishapanda rank tegemea kubadilishiwa majukumu muda wowote