LILENDI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 1,400
- 497
mbona hukuchukua kapicha kamoja mkuu ili uje utuwekee? teh teh! mpigie usikie anasemaje. anaweza kukwambia yule ni rafiki yake wa karibu na kwamba waliamua kufanya vile ili wakupime imani/mapenzi yako kwa huyo mdada. ukionyesha wivu watajua unampenda kwa dhati. zungumza nae tu, usiogope taarifa mbaya eti unajua nilikuwa nashindwa kukwambia kuwa nina mwingine, ungeumia, sijui kilikwenda kikarudi mara kilisuka kikanyoa.... !