majonzi

majonzi

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
48
Kuna binti nimetokea kumfukuzia toka kitambo hataki kunielewa mara ohoo ohoo! sitaki kujiusisha na mapenzi nataka kuishi maisha ya uhuru

sasa leo mishale ya saa kumi na mbili katika pita pita zangu natoka kutazama game ya simba na yanga nikakutana nae wameshikana mikono na kijana mmoja hapa mtaani dariri zikionesha niwapenzi muda mrefu... kiukweli nimeshikwa na mshangao

Ama kweli kila shetani na mbuyu wake daah inauma inachochoma inauma inachochoma ila kiukweli nilimpenda sana na moyo wangu sasa upo free mawazo tena nimeyaondoa...saa 1 jioni nimekuta missed call kumi na sita toka kwake nacho jiuliza pengine mpaka niwashilikishe huyu mtu atakua anataka nini?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu si bora ushukuru mungu amekuonesha kuwa HAKUFAI sasa usimfatilie tena !!
 
Mimi nikisha muona msichana ana mwanaume mwingine kitu cha kwamza hua ninafuta contact zake
 
Alikuwa anataka akuambie kuwa umemuona mtu wake? so usiendelee kumfuatilia we mpigie usikie anakuambiaje
 
Huyo ni mala.ya mzoefu achana naye mita 800
 
Kwanza wewe ni shabiki wa timu gani?
 
Huyo ni mala.ya mzoefu achana naye mita 800

Wanawake mbona mpo hivyo?

Kwa hiyo wewe mwanaume anayekufukuzia akikuona na mwanaume mwingine mmeshikana mikono unataka apate tafsiri kuwa wewe ni mala.ya mzoefu???
 
Dah!pole xana lakin bora umemuona mabint wa ckuhz hawana mpango yawezekana alkuwa hatak kusema ukwel ili aendelee na huyo mchizi xo km vp mpigie ujue anataka nn.
 
ahahah itakua anataka kubembeleza sababu nia yangu anaijua...nishamweka blacklist kama mapenzi kwake ilikua zamani
 
Wanawake mbona mpo hivyo?

Kwa hiyo wewe mwanaume anayekufukuzia akikuona na mwanaume mwingine mmeshikana mikono unataka apate tafsiri kuwa wewe ni mala.ya mzoefu???

leo lini kwani?
 
Pokea simu yake au mpigie utajua alitaka kukwambia nini. Wanasema usikatae wito kataa neno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom