dtov Member Jun 22, 2014 28 8 Jun 10, 2016 #1 Majirani bwana Ukiingia geto na mwanamke hata iwe usiku wa manane yaani lazima wamuone na wasimulie alivyo Ila sasa aingie MWIZI hata mchana kweupeeeee eti hawamuoni *ShenzyType*
Majirani bwana Ukiingia geto na mwanamke hata iwe usiku wa manane yaani lazima wamuone na wasimulie alivyo Ila sasa aingie MWIZI hata mchana kweupeeeee eti hawamuoni *ShenzyType*