Majini: Viumbe vyenye roho hatari na wivu uliopitiliza

Majini: Viumbe vyenye roho hatari na wivu uliopitiliza

Asante kwa ufafanuzi japo kwa ufahamu wangu bado hawa viumbe naona wanabaki kwenye kundi la viumbe roho
Vile vile majini yako ya kaliba nyingi na haya majini mahaba ni mojawapo katika ukoo mkubwa kuna wale hupita tu kwa kuweka kikao cha muda sawa tu na kuwa na hawara ...hapa ndio dhana ya kutibika inapojitokeza...ila kuna wale ambao ndio wamefika hao hawatoki
Bila shaka utakuwa unawazungumzia If'riit, hawa ni watata kweli hata jamii zao za majini wanawaogopa. Kuhusu kutofautiana kwenye baadhi ya mambo ni kawaida pengine vyanzo vya kupatia maarifa ni tofauti. Heko kwako bro, upo vizuri.

Day njema.
 
Asante sana pamoja nawe
 
Asante nzuri tumerejea hewani tena
Uko sahihi kabisa mkuu ila hapo mwisho kwamba hakuna tiba yake mimi bado akili inakataa...inawezekana hao viumbe wakatushinda binaadamu maarifa?
 
Sababu kubwa ndoa nyingi hazina amani familia zimesambaratika, wivu wa mapenzi matukio ya kinyama yanayofanyika kwenye familia...mwanaume kuwa na wanawake wengi , mwanamke kuwa na wanaume wengi kupoteza hamu ya tendo la ndoa kwa wanandoa au mapenzi kuisha kabisa kama ni mwanamke unakuta mume uliyempenda sana unaanza kumchukia bila sababu and also the spiritual root cause of HIV demons behind is spriritual spouses.
With God everything is possible.
 
Uko sahihi kabisa mkuu ila hapo mwisho kwamba hakuna tiba yake mimi bado akili inakataa...inawezekana hao viumbe wakatushinda binaadamu maarifa?
Binadamu kaumbwa kwa udongo, jini kaumbwa kwa moto ....jaribu kulinganisha hapo
 
Asante kwa ufafanuzi japo kwa ufahamu wangu bado hawa viumbe naona wanabaki kwenye kundi la viumbe roho
Vile vile majini yako ya kaliba nyingi na haya majini mahaba ni mojawapo katika ukoo mkubwa kuna wale hupita tu kwa kuweka kikao cha muda sawa tu na kuwa na hawara ...hapa ndio dhana ya kutibika inapojitokeza...ila kuna wale ambao ndio wamefika hao hawatoki
Vipi inapotokea kuwa mwanamke ana jini mahaba,wanapokuwa wanamuingilia au kufanya naye mapenzi anakuwa anajielewa au anakuwa hajui kitu chochote,na vipi wanaweza kumsababishia ujauzito..?
 
Vipi inapotokea kuwa mwanamke ana jini mahaba,wanapokuwa wanamuingilia au kufanya naye mapenzi anakuwa anajielewa au anakuwa hajui kitu chochote,na vipi wanaweza kumsababishia ujauzito..?
Ni lazima awe hana fahamu kamili..yani akiwa usingizini hata kama ni mchana....na mapenzi huwa matamu sana akishtuka tayari keshachafuka
Mimba hapana japo kuna baadhi ya kesi ila ni kwa mazingira maalum mno
 
Tiba ni Yesu ... ukiwa kipofu na kutumia sababu yako kuhalalisha hali yako, nikweli kabisa Roho wachafu watakusumbua tena hasa ukiwa umefanya nao maagano

Ni yesu pekee. Ambaye atakupa ndoa hata ktk miaka 40 yako, atakufanya uzae hata km hospitalin umeambiwa huwezi kuzaa.
yesu yuleyule aliyekua analalama msalabani ndo anaweza yote haya
 
Asante kwa kunifahamisha kuhusu mnyama kicheche, ni neno ambalo nime kuwa nalitumia kila mara pasipo kujua maana yake...,
 
Back
Top Bottom