Majini: Viumbe vyenye roho hatari na wivu uliopitiliza

Hata mm niko naye mpaka leo,,niliwahi kueleza humu yeye anaingia ndan ya mwili wa mwanamke mwingine na tunasex ama kwa njia ya ndoto ila namfahamu vizuri alishanihaidi baadh ya vitu na anatimiza kweli,kuna sehemu akiniambia niende nikifika nasikia sauti yake anaongea,alishawahi kunigusa,kumipigia simu nk

Hawa viumbe ni kweli wapo
 
Damu si hata Mbuzi wanayo.
Nimeshudia mara nyingi Majini wanaomba Uddi, Ubani, Manukato, damu ya kuku, kama chakula Chao.
Na ndicho nitakacho wapa.

Kutaka damu ya mtu, ni kama unataka kuwatumia ktk mambo ya kishirikina.
Mi nataka kuwafanyisha kazi zangu mbalimbali za kawaida hasa kuniletea pesa.
Huwa wanaanza Mdogo mdogo kuomba vitu vidogo vidogo udi, dhahabu,damu ya kuku,mbuzi, ng'ombe ikitoka kwenye ng'ombe kifuatacho mtu.
KILA la heri ndugu katika kumtumikia shetani
 
Shetani si aliamrishwa na Yesu ambebe hadi mnarani na akatekeleza.
Bali maneno na maagizo yake Shetani yalikataiwa na Yesu.

Kama kumsujudia ili ampe milki ambayo sio yake.
Abadili mkate kuwa jiwe ambavyo sio vyake pia.

Nami nataka kumtuma anilelee pesa tu,
na sio kutii maagizo yake kama kumsujudia, na kumchinjia kafara nk.

(Usifadhaishwe ndugu hapa tunabadilishana maarifa, ili kuwapata wenye maarifa zaidi watufundishe namna nzuri zaidi ya kufanya mambo yetu)

Karibu sana.
 
Asante Mtaalam mshana,
Nimeiona post yako ya kuhusu Aina za Majini na kazi zake.
Kutokana na hiyo posti nimeahirisha kabisa zoezi la kutaka kuyatumia Majini kwenye kazi zangu.
Nimetambua hakuna Jini zuri lenye nia nzuri ya kumsaidia mwanadamu kwa nia njema.
Hapo nimeelimika vya kutosha sana.
Big Up Mtaalam.
 
Mkuu ww unatafuta matatizo alafu mitihani km hiyo haiombwi inatakiwa Uombe Mungu akuepushe Nayo mm mhanga wa hilo Joni linalonyumbulika kitandani nimepona baada ya miaka 10 tena sio kupona kabisa ni afadhali.
Lete kaka.. mm binadam hawanitoshii!! Kam Kuna la ajab alikufanyia leta ushuhuda pengine ukanibadilisha mawazo

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Nikianza kuelezea ntajaza servor hii miaka Kumi simchezo Kwanza halitoki kuna mganga nilienda kwenye harakati za Tiba akamtaka amtoe Sasa zilepurukushani si akamvaa kifafa sio kifafa povu hili hapa macho yote yakamtoka nilisepa nikakimbia msala.

Wanamaumbo mabaya hao viumbe mm mwanzo kunivaa Nina 17 Years zilianza ndoto namnyandua eeeh kila siku inavosegea vitimbi vilizidi ilifika kipindi Haji ndotoni tena anakuja mfano wa upepo mfano wakivuli unahisi kila kitu Anavyohema, anavyotembea anakita yaani unaskia kaaa kaaa kaaa hatua hizo, manukato alafu ndani uko peke yako anapanda kitandani unahisi huyu kakanyaga hapa anakaa pembeni sasa anakuvizia usinsie Tu anakupiga ganzi sijui Alikuwa ananifunga kamba anafanya yake live kabisa na anakulaza chali unahisi huyu hapa kakaa kashakalia mpini. Hata ukiamka huwezi kumfanya chochote kile kashakumudu wanajoto Kali mno anafanya na anashuka anapukuliza than anapanda tena mpaka atosheke.

Usijitafutie mazonge kijana alivoona nahangaika kutafuta Tiba akawa anajitokeza na kunisindikiza kabisa lakini hakuna hafueni yoyote zaidi yakukupa Maradhi, Unapata mfadhaiko, Anawatisha wanawake unao kutana nao hata mkiikeana masharti mwisho WA siku anakiamsha.
 
Ulikumbuka kuchukua namba mkuu namtaka huyo

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Ulikumbuka kuchukua namba mkuu namtaka huyo

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Number niipate wapi sasa, wanamipaka hao Kwanza wanahofu ya kuja live face to face upatane nae wanajua utamdhuru au akudhuru au aje usimjue na ukimgundua tayari hayupo wengi tunaopata hiyo mitihan ukibahatika Akija kama bin Adam ukamtongoza bila yakujua siku utakayomjua Siri yake Haji tena Kwa njia hiyo atakuja Kwa njia nyengine ili akutawale sio umtawale.
 
Kakaaaa, mm kutawaliwa so kitu mm nataka shoo na jini. Mbon wenye kucha hatupati upele!?

Kwahiyo Mwana ww unalitaka haiwezekani mbona labda Kwa njia moja ufuge umfanye mke na simple kama unataka kufuga Mtafute Mganga yoyote gwiji mwambie mm nataka Mke wa kijini atakuuzia Ila usije ukarudi hapa unalia kuomba ushauri . Maana wenzie tumehangaika miaka mingi kutafuta Tiba ASA hivi tunaambulia afueni.
 
Number niipate wapi sasa, wanamipaka hao Kwanza wanahofu ya kuja live face to face upatane nae wanajua utamdhuru au akudhuru au aje usimjue na ukimgundua tayari hayupo wengi tunaopata hiyo mitihan ukibahatika Akija kama bin Adam ukamtongoza bila yakujua siku utakayomjua Siri yake Haji tena Kwa njia hiyo atakuja Kwa njia nyengine ili akutawale sio umtawale.
Hivi hauwezi kumpa mchongo huyo jini mchumbaako na wenzie watuondolee hiki chama madarakani,au!!!????
 
Back
Top Bottom