Mara ya kwanza Walikuwa waIslam, waliabudu Mungu mmoja na kila anaezaliwa anakuwa muUslam kwa asili ila anabadirika baadae😁😁😁😁majini walibadirika baadae wakawa makafiri so ilitakiwa wasilimu kwanza wawe tena waIslamu😁😁😁Watu wa Ilimu watatusaidia zaidi mkuu hivi ndo mimi navyojua.Kabla ya majini kuwa waislamu walikuwa dini kabla ya kuja uislamu?
Walibadirika kuwa makafiri kwa kufuata nini au kufanya nini?Mara ya kwanza Walikuwa waIslam, waliabudu Mungu mmoja na kila anaezaliwa anakuwa muUslam kwa asili ila anabadirika baadae😁😁😁😁majini walibadirika baadae wakawa makafiri so ilitakiwa wasilimu kwanza wawe tena waIslamu😁😁😁Watu wa Ilimu watatusaidia zaidi mkuu hivi ndo mimi navyojua.
Walikengeuka kwa kukataa kutii amri ya Allah ndo maana wakawa makafiri.Walibadirika kuwa makafiri kwa kufuata nini au kufanya nini?
Hilo wewe umelipata kwenye kitabu gani? Na mbona hata sasa kuna waislamu hawaswali au kufunguka na zote hizo ni amri za Allah sasa mbona wao sio makafiri?Walikengeuka kwa kukataa kutii amri ya Allah ndo maana wakawa makafiri.
Walikataa kumsujudia Adam, likatafsiriwa ni tendo cha kukosa utii kwa Mnyazi. Kwa kifupi Jini alileta dharau/Miyeyusho mbele ya Mnyazi.Hilo wewe umelipata kwenye kitabu gani? Na mbona hata sasa kuna waislamu hawaswali au kufunguka na zote hizo ni amri za Allah sasa mbona wao sio makafiri?
Nachojua mimi ni kwamba ni jini mmoja tu(Ibilisi) ambaye ndio aliambiwa kumsujudia Adam akakataa, kwahiyo ni suala lenye kumuhusu Ibilisi tu na si majini kwa ujumla wao.Walikataa kumsujudia Adam, likatafsiriwa ni tendo cha kukosa utii kwa Mnyazi. Kwa kifupi Jini alileta dharau/Miyeyusho mbele ya Mnyazi.
Sasa waliofanya dhambi ni Adam na Hawa sisi wengine inatuhusu nini kwa ujumla wake??Nachojua mimi ni kwamba ni jini mmoja tu(Ibilisi) ambaye ndio aliambiwa kumsujudia Adam akakataa, kwahiyo ni suala lenye kumuhusu Ibilisi tu na si majini kwa ujumla wao.
Kukuhusu ki vp?Sasa waliofanya dhambi ni Adam na Hawa sisi wengine inatuhusu nini kwa ujumla wake??
Si wanasema wao baada ya kukaidi agizo la Mungu/ kukosa utii na kushawishiwa na shetani kula tunda la mti wa katikati( Ujuzi wa mema na mabaya) basi ndo ikawa chanzo cha dhambi duniani maana yake hawakusamehewa hilo kosa la kula tunda la mti wa katikati so ndo mpaka leo tunaendeleza dhambi ila chanzo ni wao au huamini kuhusu hii hadithi ndani ya Biblia??Kukuhusu ki vp?
Kuwa chanzo cha dhambi kwa maana ipi? Kwamba hata ukiwa unaishi kwa kutenda matendo mema ila bado unahesabika una udhambi?Si wanasema wao baada ya kukaidi agizo la Mungu/ kukosa utii na kushawishiwa na shetani kula tunda la mti wa katikati( Ujuzi wa mema na mabaya) basi ndo ikawa chanzo cha dhambi duniani maana yake hawakusamehewa hilo kosa la kula tunda la mti wa katikati so ndo mpaka leo tunaendeleza dhambi ila chanzo ni wao au huamini kuhusu hii hadithi ndani ya Biblia??
Wao walisababisha dhambi iwepo au kuanza ila haimaanishi huwezi kuikwepa ndo maana watu wadini wanasema Mungu alitafuta njia nyingine ya binadamu kumrudia Mungu watendapo dhambi. Akaamua kuwaletea hao mitume na manabii na vitabu vyao ili waweze kupata muongozo wa sheria na taratibu za Mungu za jinsi ya kuishi hapa duniani .So, we kama unatenda mema haina shida kwako utazawadiwa pepo kama Eden ya mwanzo ni full raha wanasema.😁Kuwa chanzo cha dhambi kwa maana ipi? Kwamba hata ukiwa unaishi kwa kutenda matendo mema ila bado unahesabika una udhambi?
Sasa mpaka hapo issue za Adam na Hawa wewe zina kuathiri vp?Wao walisababisha dhambi iwepo au kuanza ila haimaanishi huwezi kuikwepa ndo maana watu wadini wanasema Mungu alitafuta njia nyingine ya binadamu kumrudia Mungu watendapo dhambi. Akaamua kuwaletea hao mitume na manabii na vitabu vyao ili waweze kupata muongozo wa sheria na taratibu za Mungu za jinsi ya kuishi hapa duniani .So, we kama unatenda mema haina shida kwako utazawadiwa pepo kama Eden ya mwanzo ni full raha wanasema.😁