Majini na Uislam Kamili - Quran

Majini na Uislam Kamili - Quran

Majini ni Maislamu
Kwahiyo Ibada zote wanazofanya Waislamu watu, Wanafanya pamoja na Majini:

Wanaswali nayo misikitini
Wanafunga pamoja
Wanahiji nayo Maka pamoja
Kila Ibada wanajumuika nayo:

Na wale Waislamu kamili wanayaona kama alivyokuwa anayaona Muhamadi:

Ila Waislamu maamuma kama Akina Covax
Ni wakufuata mkumbo tu:
Hawawaoni Ndugu zao wa Kijini katika Ibada zao:
Kabla ya majini kuwa waislamu walikuwa dini gani hapo kabla ya kuja uislamu?
 
Jaribu kunielewesha to the Level ambayo unahisi nitaelewa.

Majini yanakunywa maji?.
Soma ile sura ya majini kuanzia mstar wa 1 had 16.

al jinn : 16.
"Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi".
Sasa wewe unashangaa nini wao kunywa maji?
Au wewe una ushahidi mwingine unaoonyesha hawanywi maji
 
Bila shaka hii aya sio ngeni.

Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."

"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka.

Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu"

Pamoja na ile aya kwenye sura ya majini 72 (al jinn 1-3 )
Inayosema waliisikia na kuamini quran.

Al jinn : 14
"Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."

Pia
Quran 51 :56
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi."

tuone na hizi aya

Quran 72 :6
"Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi"

Qurani 18:50
“…Je, mtamchukua yeye (Ibilisi) na kizazi chake kuwa walinzi badala Yangu?”.

Qurani 55:56
“Ndani ya Pepo kuna wake waliolindwa macho, ambao hajawagusa mtu wala jini kabla yao.”

Summary:-
  • kuna majini waislam
  • wanamuabudu allah
  • wako majini wanawake kwa wanaume.
  • wanafanya mapenz na wanazaa.
  • wanakizazi na ummu yao (jamii) kama walivyo binadamu.

Hoja:-
Tunajua huwez kuwa Muislam kamili bila kufuata nguzo 5 za uislam.
Sina shaka na Shahada.
Ila je hizo nyingne majini waislam yanazifuata?.
  • je majini wanafunga swaumu ya mwez wa Ramadhan?
  • majini yanaenda Hijja?
Yanabusu jiwe jeusi?.
  • majini yanaenda Mira kumpiga mawe mwenzao?.
  • majini yanatoa zaka?.
  • majini yanabongoa kuelekea al kaaba?. Maana Quran imesema wana abudu.
  • vizaz vyao vinasikiliza Quran msikitini?. (Au wana misikiti yao?) Au majini wana masheikh wao?. Au masheikh wanatoa mawaidha kwa majini na binadamu kwa wakat mmoja?.

Naomben mnieleweshe
Jagina
Covax
Al-mukheef
Kisai

CC
Kwa taarifa
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Hamatan
Fortyseven
Maswali yako hapo karibu yote ni ndiyo na machache ambayo hayana dalili
 
Jaribu kunielewesha to the Level ambayo unahisi nitaelewa.

Majini yanakunywa maji?.
Soma ile sura ya majini kuanzia mstar wa 1 had 16.

al jinn : 16.
"Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi".
Ninarudia kwa mara nyingine,
Acheni kuusoma Uislam kupitia Wikipedia.
Kama mnashida sana ya kuufaham na kupata ukweli kuhusu Uislam njooni tuwafundishe bure kabisa.

Anyway, hivi kitabu cha Bible hakija tamka neno jini?
Mnaposema mnakemea mapepo wachafu hamumaanishi kuwa wapo wasafi?

Haya mambo ni Imani hulazimishwi kuamini uliko na mashaka, amini njia unayohisi ni sahihi.🙏
 
Bila shaka hii aya sio ngeni.

Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."

"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka.

Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu"

Pamoja na ile aya kwenye sura ya majini 72 (al jinn 1-3 )
Inayosema waliisikia na kuamini quran.

Al jinn : 14
"Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."

Pia
Quran 51 :56
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi."

tuone na hizi aya

Quran 72 :6
"Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi"

Qurani 18:50
“…Je, mtamchukua yeye (Ibilisi) na kizazi chake kuwa walinzi badala Yangu?”.

Qurani 55:56
“Ndani ya Pepo kuna wake waliolindwa macho, ambao hajawagusa mtu wala jini kabla yao.”

Summary:-
  • kuna majini waislam
  • wanamuabudu allah
  • wako majini wanawake kwa wanaume.
  • wanafanya mapenz na wanazaa.
  • wanakizazi na ummu yao (jamii) kama walivyo binadamu.

Hoja:-
Tunajua huwez kuwa Muislam kamili bila kufuata nguzo 5 za uislam.
Sina shaka na Shahada.
Ila je hizo nyingne majini waislam yanazifuata?.
  • je majini wanafunga swaumu ya mwez wa Ramadhan?
  • majini yanaenda Hijja?
Yanabusu jiwe jeusi?.
  • majini yanaenda Mira kumpiga mawe mwenzao?.
  • majini yanatoa zaka?.
  • majini yanabongoa kuelekea al kaaba?. Maana Quran imesema wana abudu.
  • vizaz vyao vinasikiliza Quran msikitini?. (Au wana misikiti yao?) Au majini wana masheikh wao?. Au masheikh wanatoa mawaidha kwa majini na binadamu kwa wakat mmoja?.

Naomben mnieleweshe
Jagina
Covax
Al-mukheef
Kisai

CC
Kwa taarifa
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Hamatan
Fortyseven
Hizo aya ulizotoa mbona zinajibu maswali yako
Maana kama wameamini uislam unategemea wataabudu kwa mfumo nje ya Quran!?

Majini mnayoyatoa kanisani huongea kiswahili,yalijifunzaje?
 
Mapepo wasafi itakuwa ni malaika.
 
Kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya uislam na majini. Uislam-majini-albadiri.

Waislam wengi (mfano Mashekhe) ni waganga, utawaoana na Pete za majini.
Unajua kuna watu wanaishi kwa kukalili ukienda mikoa ya njombe mfano wilaya ya makete unaweza usione msikiti hata mmoja lakini ni mikoa inayoongoza kwa uchawi mkubwa Tanzania
 
Hizo aya ulizotoa mbona zinajibu maswali yako
Maana kama wameamini uislam unategemea wataabudu kwa mfumo nje ya Quran!?

Majini mnayoyatoa kanisani huongea kiswahili,yalijifunzaje?

gallow bird
Nimekuelewa. Ila Just curious .

Kwahiyo majini yanaendaga Makka kuhiji?.
Wanafunga na kufuturu?.
Wanaenda msikitini?.
Wanatoa Zaka na Sadaka?.

Naomba niwekee aya za Quran au ushahid tu wowote wa hadithi.

Zile nguzo 5 za waislam hawa Majini wanazifuataje?.
 
Majini ni Maislamu
Kwahiyo Ibada zote wanazofanya Waislamu watu, Wanafanya pamoja na Majini:

Wanaswali nayo misikitini
Wanafunga pamoja
Wanahiji nayo Maka pamoja
Kila Ibada wanajumuika nayo:

Na wale Waislamu kamili wanayaona kama alivyokuwa anayaona Muhamadi:

Ila Waislamu maamuma kama Akina Covax
Ni wakufuata mkumbo tu:
Hawawaoni Ndugu zao wa Kijini katika Ibada zao:

View: https://vm.tiktok.com/ZNRDQQspv/
 
gallow bird
Nimekuelewa. Ila Just curious .

Kwahiyo majini yanaendaga Makka kuhiji?.
Wanafunga na kufuturu?.
Wanaenda msikitini?.
Wanatoa Zaka na Sadaka?.

Naomba niwekee aya za Quran au ushahid tu wowote wa hadithi.

Zile nguzo 5 za waislam hawa Majini wanazifuataje?.
We unalijua umbile la jinni mpaka ujiulize hayo maswali!?.. unaamini hawali!?..wala mzee ila siyo ugali bali damudamu za wanyama pengine na nyama, ndiyo maana makafara kwa waganga huambatana na kuchinja,huzaana pia kupitia jimai siyo symbiosis,huswali ndiyo na hufanya kila kitu ambacho binaadam hufanya
Wahuni wanaojua elimu yake mbona huyaua kirahisi tu na yakifa hunuka pia
 
Bila shaka hii aya sio ngeni.

Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."

"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka.

Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu"

Pamoja na ile aya kwenye sura ya majini 72 (al jinn 1-3 )
Inayosema waliisikia na kuamini quran.

Al jinn : 14
"Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."

Pia
Quran 51 :56
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi."

tuone na hizi aya

Quran 72 :6
"Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi"

Qurani 18:50
“…Je, mtamchukua yeye (Ibilisi) na kizazi chake kuwa walinzi badala Yangu?”.

Qurani 55:56
“Ndani ya Pepo kuna wake waliolindwa macho, ambao hajawagusa mtu wala jini kabla yao.”

Summary:-
  • kuna majini waislam
  • wanamuabudu allah
  • wako majini wanawake kwa wanaume.
  • wanafanya mapenz na wanazaa.
  • wanakizazi na ummu yao (jamii) kama walivyo binadamu.

Hoja:-
Tunajua huwez kuwa Muislam kamili bila kufuata nguzo 5 za uislam.
Sina shaka na Shahada.
Ila je hizo nyingne majini waislam yanazifuata?.
  • je majini wanafunga swaumu ya mwez wa Ramadhan?
  • majini yanaenda Hijja?
Yanabusu jiwe jeusi?.
  • majini yanaenda Mira kumpiga mawe mwenzao?.
  • majini yanatoa zaka?.
  • majini yanabongoa kuelekea al kaaba?. Maana Quran imesema wana abudu.
  • vizaz vyao vinasikiliza Quran msikitini?. (Au wana misikiti yao?) Au majini wana masheikh wao?. Au masheikh wanatoa mawaidha kwa majini na binadamu kwa wakat mmoja?.

Naomben mnieleweshe
Jagina
Covax
Al-mukheef
Kisai

CC
Kwa taarifa
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Hamatan
Fortyseven
Ongezea na hii umeisahau

Majini Wana akili kuliko wakristo wote

Quran 46:30
- Wakasema: Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka

First time Majini wanasikia Quran wakasema tumesikia kitabu kilichoteremka Baada ya Musa kitu ambacho nyinyi wakristo mmeshindwa kujua ila majini wamejua

Nyinyi wagalatia mnatutia aibu Binadamu wenzenu Yani mnapitwa ufahamu hata na majini?

Kwanini majini walisema wamesikia kitabu kilichoteremka Baada ya Taurati Kwa nini wasiseme Baada ya Injili au Zaburi?

Majini Wana akili kuliko wakristo wote Duniani
 
Wakristo ni tofauti sana na waislam na majini.

Maji na mafuta hayawez kukaa pamoja.

Hawa watoto wa shetan ambao ni waislam watafunga na wenyewe mwez huu wa ramadhani?.
 
Attachments

  • PhotoCollage_1770096731209.jpg
    PhotoCollage_1770096731209.jpg
    281.1 KB · Views: 9
Back
Top Bottom