Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,351
- 11,103
Fack bitch***Ongezea na hii umeisahau
Majini Wana akili kuliko wakristo wote
Quran 46:30
- Wakasema: Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka
First time Majini wanasikia Quran wakasema tumesikia kitabu kilichoteremka Baada ya Musa kitu ambacho nyinyi wakristo mmeshindwa kujua ila majini wamejua
Nyinyi wagalatia mnatutia aibu Binadamu wenzenu Yani mnapitwa ufahamu hata na majini?
Kwanini majini walisema wamesikia kitabu kilichoteremka Baada ya Taurati Kwa nini wasiseme Baada ya Injili au Zaburi?
Majini Wana akili kuliko wakristo wote Duniani
In Tupac voices
Hao majini wapo wapi niwapige miti?
😅😅😅