Majini na Uislam Kamili - Quran

Majini na Uislam Kamili - Quran

Shetani aliasi Mbinguni.
Akashuka na jeshi lake la malaika wanaomtii.
Kazi yao ni kupotosha binadamu.
Ndio haya mapepo na mashetani tunayoyaona.
Hakuna zuri. Yote ni mabaya.

Hawazai(hawalombani) ,Hawafi, Na watakaa hadi siku ya mwisho.

Wakimalizana /kufukuzwa kwa mtu mmoja . Huwa wanazunguka zunguka na wanahamia kwa mwingne. (Hawafi hawa).

Na wafuasi wao waliowavuna (binadamu) ndio wataingia motoni pamoja na hayo mashetani.

Hizi roho chafu . Ambazo ni mapepo ni kazi ya hao malaika wachafu kuhadaa binadamu na kufanya uovu au kuwatesa (kulogwa.)
Kwani mkuu hao mapepo na binaadamu ni wepi wako wengi ni binaadamu au mapepo(malaika waliyoasi)? Najaribu kuwaza kama hao mapepo wako wachache kuliko idadi kubwa ya binaadamu najiuliza wanajigawa vp kiasi cha kuweza kuwaada na kuwatesa binaadamu wote sie ukizingatia sie tunazidi kuongezeka ila wao idadi yao ipo vilevile?
 
Shetani aliasi Mbinguni.
Akashuka na jeshi lake la malaika wanaomtii.
Kazi yao ni kupotosha binadamu.
Ndio haya mapepo na mashetani tunayoyaona.
Hakuna zuri. Yote ni mabaya.

Hawazai(hawalombani) ,Hawafi, Na watakaa hadi siku ya mwisho.

Wakimalizana /kufukuzwa kwa mtu mmoja . Huwa wanazunguka zunguka na wanahamia kwa mwingne. (Hawafi hawa).

Na wafuasi wao waliowavuna (binadamu) ndio wataingia motoni pamoja na hayo mashetani.

Hizi roho chafu . Ambazo ni mapepo ni kazi ya hao malaika wachafu kuhadaa binadamu na kufanya uovu au kuwatesa (kulogwa.)
Na mimi pia naanza kukushangaa kama unavyotushangaa sisi kuhusu majini
Malaika iweje wawe waasi
 
Wewe ndo kilaza kabisa majini ni mapepo tu machafu kama mapepo mengine.
Usijibu kitu kama hujui,umeshawahi kusikia simulizi ya hekalu la mfalme Suleimani lilijengwa na majini? na ni ukweli kabisa,sasa jiulize vilaza wangejenga hekalu?
 
Jameni Yesu atunusuru na hii dini maana itawapeleka wengi jehanum
adriz MOTOCHINI zitto junior
Hapo ndipo mnapokoseaga hivi Yesu yeye akunusuru kama nani? wakati naye siku ya hukumu atakuwa anasubilia kuhukumiwa,sawa na mama yake sawa na babu yake,asiyehukumiwa na mwenyekuhukumu ni Mungu peke yake nawashauri ndugu zangu msikubali kupewa elimu ya upande mmoja nenda ukatafute elimu hata upande wa pili uone ulimwengu ukoje?
 
Usijibu kitu kama hujui,umeshawahi kusikia simulizi ya hekalu la mfalme Suleimani lilijengwa na majini? na ni ukweli kabisa,sasa jiulize vilaza wangejenga hekalu?
Watu wengine mnasikitisha sana hata hoja zenu zinachekesha pia.
 
Watu wengine mnasikitisha sana hata hoja zenu zinachekesha pia.
Siyo tunasikitisha tatizo elimu yako ni ndogo ndugu,hebu jiulize ingawa hii haingiliani na majini kwa nini watu weupe Wazungu na Waarabu walikuwa nawaweza kuswaga ndugu zetu kama kuku yaani inamana wakoloni 4 wangewaswaga hata watu mia wasilete hofu yoyote ile?au kwa nini babu zetu wenye uhusiano na Uisilamo waliwasumbua sana wakoloni mfano Mkwawa Muisilamu,Kinjekitile muisilamu?
 
Nakupata vizur .

Kwahiyo yanaenda msikitini.
Yanaenda kuhiji pia?.
Yanafanya ile ibada ya kumrushia mawe mwenzao?.
Mwenzao yupi?
Wakuryesh walikuwa wanashirikiana na majini na mashetani.

Quran 72:6
" Na kulikuwa na wanaume miongoni mwa wanadamu waliokuwa wakijikinga kwa wanaume miongoni mwa majini, nao wakawazidisha ujeuri.”
Kwenu uyole waganga hawashirikiani na majini?
Sio kwamba Waislam mpaka sasa wanashirikiana na majini ..na ndio yalimpa ujeur Mohamed na kuyakaribisha kuswal . Na kuwa kitu kimoja?.

Kwanini majini yanaogopa mifupa ya kitimoto na waislam wanaogopa hata kugusa kula nyama ya Kitimoto?.
Nikuelekeze kwa mtu uende na mfupa wa nguruwe halafu akurushie jini tuone kama litaogopa?
Ni kwasababu wote ni sawa.
Dumas the terrible
 
Siyo tunasikitisha tatizo elimu yako ni ndogo ndugu,hebu jiulize ingawa hii haingiliani na majini kwa nini watu weupe Wazungu na Waarabu walikuwa nawaweza kuswaga ndugu zetu kama kuku yaani inamana wakoloni 4 wangewaswaga hata watu mia wasilete hofu yoyote ile?au kwa nini babu zetu wenye uhusiano na Uisilamo waliwasumbua sana wakoloni mfano Mkwawa Muisilamu,Kinjekitile muisilamu?
Ninamashaka makubwa sana na afya yako ya akili, kabla ya kukujibu swali lako lisilo na kichwa labda tuludi mwanzo, kwa nini hayo majini yamjengee suleimani mwana wa daudi mtumishi wa mungu aliye hai yaani YEHOVA hekaru na yashindwe kumjengea baba yenu mudy kibaraka wa Alah aliye yatambulisha kwenu kupitia utahira na uwendawazimu wa kichwa chake?
 
Ninamashaka makubwa sana na afya yako ya akili, kabla ya kukujibu swali lako lisilo na kichwa labda tuludi mwanzo, kwa nini hayo majini yamjengee suleimani mwana wa daudi mtumishi wa mungu aliye hai yaani hekaru na yashindwe kumjengea baba yenu mudy kibaraka wa Alah aliye yatambulisha kwenu kupitia utahira na uwendawazimu wa kichwa chake?
Ndiyo maana nimekwambia una elimu ndogo,bado unajidhihirisha ulivyokuwa na elimu ndogo,basi chukua hii,Mfalme Suleimani alikuwa amepewa amri juu ya viumbe vyote kuanzia wanyama ndege mpaka upepo,na alikuwa anajua lugha zao,mpaka alikuwa anawasikia sisimizi wanavyoongea limetumika jina la mdudu chungu,anapojenga Hekalu alikuwa amekalia kiti huku ameegemea bakola yake majini walifanya kazi kwa kumuogopa wakijua mzima kumbe amekufa walikuja stuka helalu limeisha na na alipoanguka baada ya bakola yake kuliwa na mchwa
 
Yaani unavyoropoka na kupayuka hovyo kama ulikuwepo wakati anapewa hayo mamraka na ulishuhudia tumia akili usipende kukalilishwa hovyo tu.
 
Yaani unavyoropoka na kupayuka hovyo kama ulikuwepo wakati anapewa hayo mamraka na ulishuhudia tumia akili usipende kukalilishwa hovyo tu.
Nataka nikwambie kila kitu kama kingeandikwa kwenye Biblia au Quruani basi hivyo vitabu visingewezekana kubebeka vingekuwa vikubwa sana,lakini katika Uisilamu kuna elimu ya Sira yaani hadithi ambazo zipo nyingi sana kwa hiyo usizalau kile ambacho huna na mwenzako anacho,

Labda unajua kama Jini alikataa kumsujudia Adamu na ndiyo kisa cha uhasama kati binadamu na majini? Najua kwa akili yako ya ubishi hutataki kuujua ukweli?
Je unajua Malaika walimsujudia Adamu,na hii ni kwamba mwanadamu akiwa na imani ya daraja la juu ni zaidi ya maraika, huwa maraika wanawatumikia mfano Nuhu Ibrahimu,Mussa,Yessu,na Mtume Muhammad (S.A.W)hapo aliyeongea direkti na Mungu ni Mussa lakini hakumuona hao wengine kiunganishi chao kati ya wao na Mungu alikuwa Malaika Jibril wengine wanamuita Gabriel maana katika Uisilamu tumefundishwa kila malaika ana kazi yake hawaingiliani,
Na kuna vita mtume Muhammad alipigana na makureshi jeshi la mtume walikuwa watu wachache sana huku makureshi walikuwa wengi lakini Mwenyezi Mungu aliwatuma malaika wakasaidie upande wa mtume wakipigana kama binadamu
 
Back
Top Bottom