Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,459
- 11,345
Fack bitch***Ongezea na hii umeisahau
Majini Wana akili kuliko wakristo wote
Quran 46:30
- Wakasema: Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka
First time Majini wanasikia Quran wakasema tumesikia kitabu kilichoteremka Baada ya Musa kitu ambacho nyinyi wakristo mmeshindwa kujua ila majini wamejua
Nyinyi wagalatia mnatutia aibu Binadamu wenzenu Yani mnapitwa ufahamu hata na majini?
Kwanini majini walisema wamesikia kitabu kilichoteremka Baada ya Taurati Kwa nini wasiseme Baada ya Injili au Zaburi?
Majini Wana akili kuliko wakristo wote Duniani
We unalijua umbile la jinni mpaka ujiulize hayo maswali!?.. unaamini hawali!?..wala mzee ila siyo ugali bali damudamu za wanyama pengine na nyama, ndiyo maana makafara kwa waganga huambatana na kuchinja,huzaana pia kupitia jimai siyo symbiosis,huswali ndiyo na hufanya kila kitu ambacho binaadam hufanya
Wahuni wanaojua elimu yake mbona huyaua kirahisi tu na yakifa hunuka pia
Fack bitch***
In Tupac voices
Hao majini wapo wapi niwapige miti?
π π π
Ukiulizwa ushahidi wa hayo maneno utaanza kuzungukazungukaWakristo ni tofauti sana na waislam na majini.
Maji na mafuta hayawez kukaa pamoja.
Hawa watoto wa shetan ambao ni waislam watafunga na wenyewe mwez huu wa ramadhani?.
Ukiulizwa ushahidi wa hayo maneno utaanza kuzungukazunguka
Ukiulizwa ushahidi wa hayo maneno utaanza kuzungukazunguka
Ungeandika kistaarabu ningekujibu.
Ila huko kubong'oa.
Acha nikuacheπΆπΆπΆ
Ushahidi wa kuwa Shetani alisilimishwaUshahidi gan tena wakat mmekiri wenyewe.
Majini huzaliwa na kufa.
Na kuna watoto wa kijini .
Ambao wamezaliwa na majini ya kiislam. Na wanaenda msikitini.
Ndio nikauliza Majini ya kiislam yatafunga mwez wa ramadhani?
Mm nataka kujua tu.
Sina ilim ya majini kama uliyonayo ww.
Wewe utakuwa unawajua sana majini na ndio maana kuna vitu Uislamu unasema kuhusu majini wewe ambaye unawajua sana unaona kama uongoπ€£π€£π€£Mm nataka kujua tu.
Sina ilim ya majini kama uliyonayo ww.
Wewe utakuwa unawajua sana majini na ndio maana kuna vitu Uislamu unasema kuhusu majini wewe ambaye unawajua sana unaona kama uongoπ€£π€£π€£
Ushahidi wa kuwa Shetani alisilimishwa
Kama ni vitu viwili tofauti mbona unaonekana unawajua sana hadi kuhoji vitu kuhusu wao maana ungekuwa huwajui usingehoji habari za wao kuwa na uwezo wa kunywa majiMm nakusanya maarifa ili nipinge kwa hoja na logic.
Mm ni mkristo.
Majini ni Waislam.
Ni vitu viwili tofauti.
Mapepo masafi ndio malaika?Wewe ndo kilaza kabisa majini ni mapepo tu machafu kama mapepo mengine.
Yeye ni nani katika Uislam alichukua elimu kwa mwanazuoni ganiHiko kitabu cha asili ya majini. Si kaandika muislam mwenzenu. Anayejua ilim ya majini kuliko ww.
Unapingana nae?.
Huo ni ushahidi tosha.
Mkuu ukifanya majini kuwa ndio malaika waliyoasi hapo ndio mnachanganyana.Wakristo ni tofauti sana na waislam na majini.
Maji na mafuta hayawez kukaa pamoja.
Hawa watoto wa shetan ambao ni waislam watafunga na wenyewe mwez huu wa ramadhani?.
Mkuu ukifanya majini kuwa ndio malaika waliyoasi hapo ndio mnachanganyana.
Wewe unataka tuamini kuwa Malaika wanazaa auπ€£π€£π€£Hivi Shetani ni mmoja yule yule ?.
Quran inasema shetan ana madhuriya.
Ina maana alivyoshuka dunian akaja kuwalomba majini wenzake na kupata watoto wengi wengi.
Ila yeye hafi kwasababu alipewa muhula Hadi kiama.
Ila hao watoto wake ambao ni majini mashetani ndio wanakufa..
ππππ kwahiyo mnataka tuamini hivi? ππππ
Wewe unataka tuamini kuwa Malaika wanazaa auπ€£π€£π€£
Unauliza au unajibu?Mapepo masafi ndio malaika?
Maswali unayoyauliza unayaelekezea kwenye uislamu tu ila kama ukiangalia vizuri utagundua kwamba ni maswali yenye kugusa hata kwenye ukristo pia kwa jinsi ambavyo wakristo wanavyo waelezea majini/shetani/mapepo.Hivi Shetani ni mmoja yule yule ?.
Quran inasema shetan ana madhuriya.
Ina maana alivyoshuka dunian akaja kuwalomba majini wenzake na kupata watoto wengi wengi.
Ila yeye hafi kwasababu alipewa muhula Hadi kiama.
Ila hao watoto wake ambao ni majini mashetani ndio wanakufa..
ππππ kwahiyo mnataka tuamini hivi? ππππ