Kabla ya majini kuwa waislamu walikuwa dini gani hapo kabla ya kuja uislamu?Majini ni Maislamu
Kwahiyo Ibada zote wanazofanya Waislamu watu, Wanafanya pamoja na Majini:
Wanaswali nayo misikitini
Wanafunga pamoja
Wanahiji nayo Maka pamoja
Kila Ibada wanajumuika nayo:
Na wale Waislamu kamili wanayaona kama alivyokuwa anayaona Muhamadi:
Ila Waislamu maamuma kama Akina Covax
Ni wakufuata mkumbo tu:
Hawawaoni Ndugu zao wa Kijini katika Ibada zao:
Sasa wewe unashangaa nini wao kunywa maji?Jaribu kunielewesha to the Level ambayo unahisi nitaelewa.
Majini yanakunywa maji?.
Soma ile sura ya majini kuanzia mstar wa 1 had 16.
al jinn : 16.
"Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi".
Maswali yako hapo karibu yote ni ndiyo na machache ambayo hayana daliliBila shaka hii aya sio ngeni.
Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."
"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka.
Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu"
Pamoja na ile aya kwenye sura ya majini 72 (al jinn 1-3 )
Inayosema waliisikia na kuamini quran.
Al jinn : 14
"Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."
Pia
Quran 51 :56
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi."
tuone na hizi aya
Quran 72 :6
"Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi"
Qurani 18:50
“…Je, mtamchukua yeye (Ibilisi) na kizazi chake kuwa walinzi badala Yangu?”.
Qurani 55:56
“Ndani ya Pepo kuna wake waliolindwa macho, ambao hajawagusa mtu wala jini kabla yao.”
Summary:-
- kuna majini waislam
- wanamuabudu allah
- wako majini wanawake kwa wanaume.
- wanafanya mapenz na wanazaa.
- wanakizazi na ummu yao (jamii) kama walivyo binadamu.
Hoja:-
Tunajua huwez kuwa Muislam kamili bila kufuata nguzo 5 za uislam.
Sina shaka na Shahada.
Ila je hizo nyingne majini waislam yanazifuata?.
Yanabusu jiwe jeusi?.
- je majini wanafunga swaumu ya mwez wa Ramadhan?
- majini yanaenda Hijja?
- majini yanaenda Mira kumpiga mawe mwenzao?.
- majini yanatoa zaka?.
- majini yanabongoa kuelekea al kaaba?. Maana Quran imesema wana abudu.
- vizaz vyao vinasikiliza Quran msikitini?. (Au wana misikiti yao?) Au majini wana masheikh wao?. Au masheikh wanatoa mawaidha kwa majini na binadamu kwa wakat mmoja?.
Naomben mnieleweshe
Jagina
Covax
Al-mukheef
Kisai
CC
Kwa taarifa
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Hamatan
Fortyseven
Weka namba hapa wakuteke.Ebo! Kumbe unakamua kimyakimya fanya mpango unitumi na mimi bapa 1 kupitia mixx by yas.
Ninarudia kwa mara nyingine,Jaribu kunielewesha to the Level ambayo unahisi nitaelewa.
Majini yanakunywa maji?.
Soma ile sura ya majini kuanzia mstar wa 1 had 16.
al jinn : 16.
"Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi".
Tatizo uelewa wako ndiyo mdogo hasa katika masuala ya dini,labda nikuulize swali Majini ni nini au ni kina nani na unafahamu historia yao?Aiseeee! Mudy alikuwa ni mshirikina heavy.
Hizo aya ulizotoa mbona zinajibu maswali yakoBila shaka hii aya sio ngeni.
Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."
"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka.
Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu"
Pamoja na ile aya kwenye sura ya majini 72 (al jinn 1-3 )
Inayosema waliisikia na kuamini quran.
Al jinn : 14
"Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."
Pia
Quran 51 :56
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi."
tuone na hizi aya
Quran 72 :6
"Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi"
Qurani 18:50
“…Je, mtamchukua yeye (Ibilisi) na kizazi chake kuwa walinzi badala Yangu?”.
Qurani 55:56
“Ndani ya Pepo kuna wake waliolindwa macho, ambao hajawagusa mtu wala jini kabla yao.”
Summary:-
- kuna majini waislam
- wanamuabudu allah
- wako majini wanawake kwa wanaume.
- wanafanya mapenz na wanazaa.
- wanakizazi na ummu yao (jamii) kama walivyo binadamu.
Hoja:-
Tunajua huwez kuwa Muislam kamili bila kufuata nguzo 5 za uislam.
Sina shaka na Shahada.
Ila je hizo nyingne majini waislam yanazifuata?.
Yanabusu jiwe jeusi?.
- je majini wanafunga swaumu ya mwez wa Ramadhan?
- majini yanaenda Hijja?
- majini yanaenda Mira kumpiga mawe mwenzao?.
- majini yanatoa zaka?.
- majini yanabongoa kuelekea al kaaba?. Maana Quran imesema wana abudu.
- vizaz vyao vinasikiliza Quran msikitini?. (Au wana misikiti yao?) Au majini wana masheikh wao?. Au masheikh wanatoa mawaidha kwa majini na binadamu kwa wakat mmoja?.
Naomben mnieleweshe
Jagina
Covax
Al-mukheef
Kisai
CC
Kwa taarifa
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Hamatan
Fortyseven
Mapepo wasafi itakuwa ni malaika.Ninarudia kwa mara nyingine,
Acheni kuusoma Uislam kupitia Wikipedia.
Kama mnashida sana ya kuufaham na kupata ukweli kuhusu Uislam njooni tuwafundishe bure kabisa.
Anyway, hivi kitabu cha Bible hakija tamka neno jini?
Mnaposema mnakemea mapepo wachafu hamumaanishi kuwa wapo wasafi?
Haya mambo ni Imani hulazimishwi kuamini uliko na mashaka, amini njia unayohisi ni sahihi.🙏
Unajua kuna watu wanaishi kwa kukalili ukienda mikoa ya njombe mfano wilaya ya makete unaweza usione msikiti hata mmoja lakini ni mikoa inayoongoza kwa uchawi mkubwa TanzaniaKuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya uislam na majini. Uislam-majini-albadiri.
Waislam wengi (mfano Mashekhe) ni waganga, utawaoana na Pete za majini.
Hizo aya ulizotoa mbona zinajibu maswali yako
Maana kama wameamini uislam unategemea wataabudu kwa mfumo nje ya Quran!?
Majini mnayoyatoa kanisani huongea kiswahili,yalijifunzaje?
Ngoja niandae popcorn wakati kina Jagina wakijiandaa kujilipua uwanjani!
Majini ni Maislamu
Kwahiyo Ibada zote wanazofanya Waislamu watu, Wanafanya pamoja na Majini:
Wanaswali nayo misikitini
Wanafunga pamoja
Wanahiji nayo Maka pamoja
Kila Ibada wanajumuika nayo:
Na wale Waislamu kamili wanayaona kama alivyokuwa anayaona Muhamadi:
Ila Waislamu maamuma kama Akina Covax
Ni wakufuata mkumbo tu:
Hawawaoni Ndugu zao wa Kijini katika Ibada zao:
We unalijua umbile la jinni mpaka ujiulize hayo maswali!?.. unaamini hawali!?..wala mzee ila siyo ugali bali damudamu za wanyama pengine na nyama, ndiyo maana makafara kwa waganga huambatana na kuchinja,huzaana pia kupitia jimai siyo symbiosis,huswali ndiyo na hufanya kila kitu ambacho binaadam hufanyagallow bird
Nimekuelewa. Ila Just curious .
Kwahiyo majini yanaendaga Makka kuhiji?.
Wanafunga na kufuturu?.
Wanaenda msikitini?.
Wanatoa Zaka na Sadaka?.
Naomba niwekee aya za Quran au ushahid tu wowote wa hadithi.
Zile nguzo 5 za waislam hawa Majini wanazifuataje?.
Watanionea tu kijana wa watu.Weka namba hapa wakuteke.
Wewe ndo kilaza kabisa majini ni mapepo tu machafu kama mapepo mengine.Tatizo uelewa wako ndiyo mdogo hasa katika masuala ya dini,labda nikuulize swali Majini ni nini au ni kina nani na unafahamu historia yao?
Ongezea na hii umeisahauBila shaka hii aya sio ngeni.
Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."
"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka.
Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu"
Pamoja na ile aya kwenye sura ya majini 72 (al jinn 1-3 )
Inayosema waliisikia na kuamini quran.
Al jinn : 14
"Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."
Pia
Quran 51 :56
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi."
tuone na hizi aya
Quran 72 :6
"Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi"
Qurani 18:50
“…Je, mtamchukua yeye (Ibilisi) na kizazi chake kuwa walinzi badala Yangu?”.
Qurani 55:56
“Ndani ya Pepo kuna wake waliolindwa macho, ambao hajawagusa mtu wala jini kabla yao.”
Summary:-
- kuna majini waislam
- wanamuabudu allah
- wako majini wanawake kwa wanaume.
- wanafanya mapenz na wanazaa.
- wanakizazi na ummu yao (jamii) kama walivyo binadamu.
Hoja:-
Tunajua huwez kuwa Muislam kamili bila kufuata nguzo 5 za uislam.
Sina shaka na Shahada.
Ila je hizo nyingne majini waislam yanazifuata?.
Yanabusu jiwe jeusi?.
- je majini wanafunga swaumu ya mwez wa Ramadhan?
- majini yanaenda Hijja?
- majini yanaenda Mira kumpiga mawe mwenzao?.
- majini yanatoa zaka?.
- majini yanabongoa kuelekea al kaaba?. Maana Quran imesema wana abudu.
- vizaz vyao vinasikiliza Quran msikitini?. (Au wana misikiti yao?) Au majini wana masheikh wao?. Au masheikh wanatoa mawaidha kwa majini na binadamu kwa wakat mmoja?.
Naomben mnieleweshe
Jagina
Covax
Al-mukheef
Kisai
CC
Kwa taarifa
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Hamatan
Fortyseven
Kwani wanajari hiloWatanionea tu kijana wa watu.
Ongezea na hii umeisahau
Majini Wana akili kuliko wakristo wote
Quran 46:30
- Wakasema: Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka
First time Majini wanasikia Quran wakasema tumesikia kitabu kilichoteremka Baada ya Musa kitu ambacho nyinyi wakristo mmeshindwa kujua ila majini wamejua
Nyinyi wagalatia mnatutia aibu Binadamu wenzenu Yani mnapitwa ufahamu hata na majini?
Kwanini majini walisema wamesikia kitabu kilichoteremka Baada ya Taurati Kwa nini wasiseme Baada ya Injili au Zaburi?
Majini Wana akili kuliko wakristo wote Duniani