Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,505
- 9,966
Kwani uislamu na majini kipi kilitangulia? Maana kuna hoja kwamba mababu zetu huko zamani walikuwa na imani zao kabla ya ujio wa dini na majini walikuwepo ndio hii mizimu ambayo haina dini.Kuna uhusiano wa Moja kwa Moja kati ya uislam na majini. Uislam-majini-albadiri.
Waislam wengi (mfano Mashekhe) ni waganga, utawaoana na Pete za majini.
Bila shaka hii aya sio ngeni.
Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."
"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka.
Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu"
Pamoja na ile aya kwenye sura ya majini 72 (al jinn 1-3 )
Inayosema waliisikia na kuamini quran.
Al jinn : 14
"Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."
Pia
Quran 51 :56
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi."
tuone na hizi aya
Quran 72 :6
"Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi"
Qurani 18:50
“…Je, mtamchukua yeye (Ibilisi) na kizazi chake kuwa walinzi badala Yangu?”.
Qurani 55:56
“Ndani ya Pepo kuna wake waliolindwa macho, ambao hajawagusa mtu wala jini kabla yao.”
Summary:-
- kuna majini waislam
- wanamuabudu allah
- wako majini wanawake kwa wanaume.
- wanafanya mapenz na wanazaa.
- wanakizazi na ummu yao (jamii) kama walivyo binadamu.
Hoja:-
Tunajua huwez kuwa Muislam kamili bila kufuata nguzo 5 za uislam.
Sina shaka na Shahada.
Ila je hizo nyingne majini waislam yanazifuata?.
Yanabusu jiwe jeusi?.
- je majini wanafunga swaumu ya mwez wa Ramadhan?
- majini yanaenda Hijja?
- majini yanaenda Mira kumpiga mawe mwenzao?.
- majini yanatoa zaka?.
- majini yanabongoa kuelekea al kaaba?. Maana Quran imesema wana abudu.
- vizaz vyao vinasikiliza Quran msikitini?. (Au wana misikiti yao?) Au majini wana masheikh wao?. Au masheikh wanatoa mawaidha kwa majini na binadamu kwa wakat mmoja?.
Naomben mnieleweshe
Jagina
Covax
Al-mukheef
Kisai
CC
Kwa taarifa
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Hamatan
Fortyseven
Alaf alikua hachagui cha kuandika katika kitabu chake. Nadhani alikua mraibu, maana alikosa busara kabisa. Hata Erick shigongo hawezi kuandika ujinga alouandika mudy.Aiseeee! Mudy alikuwa ni mshirikina heavy.
Natamani kukujibu ILA sijui hata nianziwe wapi
maswali yako ni sawa na mwanafunzi wa Physics kidato cha kwanza anayesoma Archimedes principle
Akauliza swali la kidato cha Sita - Quantum Field Theory
Unakuta naelewa kabisa kabisa kuwa;
Quantum Field Theory (QFT) is the mathematical framework in theoretical physics combining quantum mechanics, special relativity, and classical field theory to describe subatomic particles as quantized, localized vibrations in underlying fields that permeate space-time.
ILA SIJUI NAMNA YA KUMUELEZEA KWANI HANA BASIC PRINCIPLE OF PHYSICS HIVYO HAWEZI KUELEWA CHOCHOTE....
Tatizo; unakuta elimu yako ya Uislam ni ngazi ya chekechea halafu unachukua kitabu cha A- level unauliza maswali; hivyo kukuelewesha ni ngumu kwani huna back ground yoyote ya uislam...
Wakati wa kusoma Qurani unatakiwa ujue; kwa nini sura/aya flani iliandikwa na ililenga kina nani na wakati gani etc
Fikiria mtu anaulizia kubusu jiwe? kwenda hija nk elimu ya chekechea kabisa hiyo!
Nahisi alikuwa mtu wa hovyo sana hasa nyege za kijinga.Alaf alikua hachagui cha kuandika katika kitabu chake. Nadhani alikua mraibu, maana alikosa busara kabisa. Hata Erick shigongo hawezi kuandika ujinga alouandika mudy.
Tatizo; unakuta elimu yako ya Uislam ni ngazi ya chekechea halafu unachukua kitabu cha A- level unauliza maswali; hivyo kukuelewesha ni ngumu kwani huna back ground yoyote ya uislam...
Wakati wa kusoma Qurani unatakiwa ujue; kwa nini sura/aya flani iliandikwa na ililenga kina nani na wakati gani etc
Fikiria mtu anaulizia kubusu jiwe? kwenda hija nk elimu ya chekechea kabisa
Naamini ulisoma physics walau ya form 1 na two; sasa naomba umuelezee mwanafunzi wa kidato cha kwanza hii QFT ina maanisha nini;Kwamba ww una elimu kubwa ya Uislam?.
Waswahili wanasema
“Debe tupu haliwezi kudondosha maji.”
Hebu tuonyeshe kama una ilimu ya uislam.
Majini ni Waislam. Hata Shetani ni Muislam.
Sasa Nimehoji majini wanaweza kuswali, kufunga, na kuabudu?. Kama waislam wengne?.
Na wanafanyia haya wakiwa wapi?.
Kama wanafunga ina maana Wanafuturu.
Kama wana abudu ina maana wanabongoa kuelekea Makka al.kaaba.
NB : Picha ni kutoka kitabu cha Asili ya majini. Ukurasa wa 20.
Usisahau kusoma mstar wa mwisho unaosema watoto wa majini.
Sasa kuhoji kuwa hawa watoto majini ambao ni waislam kama wanafanya yale binadamu wa kiislam linakuwa swal la chekechea?.
kama huwezi kumueleza akakuelewa, ndio sababu na mimi nashindwa kukujibu maswali yako kwani Kuelewa Qurani vizuri LAZIMA uwe na elimu ya kawaida ya kujua Sura/Aya, ilikuja wakati gani, kwa watu gani, ilikusudia nini....na wewe huna hizo basic principles hivyo huwezi kuelewa!!!
Physics, Chemistry, mathematics & Biology ndio masomo ya wanaume walio soma shule za VipajiWewe sio tu kuwa shule haujaenda. Ila hata Quran Hauijui.
By the way nimesoma phyisics Had form 4.
Tena shule yenye kipaji maalumu.
Ila sikuendelea nayo form 5 na 6.
Hahahahaaaa... Usinichekeshe ninavo kunywa pombe mkuuNahisi alikuwa mtu wa hovyo sana hasa nyege za kijinga.
Hahahahaaaa... Usinichekeshe ninavo kunywa pombe mkuuNahisi alikuwa mtu wa hovyo sana hasa nyege za kijinga.
Ebo! Kumbe unakamua kimyakimya fanya mpango unitumi na mimi bapa 1 kupitia mixx by yas.Hahahahaaaa... Usinichekeshe ninavo kunywa pombe mkuu