Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 3,347
- 6,494
Bila shaka hii aya sio ngeni.
Quran 46 : 29 - 33
"Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya."
"Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake, na kinacho ongoza kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka.
Enyi kaumu yetu! Muitikieni Mwenye kuitia kwa Mwenyezi Mungu, na muaminini, Mwenyezi Mungu atakusameheni, na atakukingeni na adhabu chungu"
Pamoja na ile aya kwenye sura ya majini 72 (al jinn 1-3 )
Inayosema waliisikia na kuamini quran.
Al jinn : 14
"Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."
Pia
Quran 51 :56
"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi."
tuone na hizi aya
Quran 72 :6
"Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi"
Qurani 18:50
“…Je, mtamchukua yeye (Ibilisi) na kizazi chake kuwa walinzi badala Yangu?”.
Qurani 55:56
“Ndani ya Pepo kuna wake waliolindwa macho, ambao hajawagusa mtu wala jini kabla yao.”
Summary:-
Hoja:-
Tunajua huwez kuwa Muislam kamili bila kufuata nguzo 5 za uislam.
Sina shaka na Shahada.
Ila je hizo nyingne majini waislam yanazifuata?.
Naomben mnieleweshe
Jagina
Covax
Al-mukheef
Kisai
CC
Kwa taarifa
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Hamatan
Fortyseven

- kuna majini waislam
- wanamuabudu allah
- wako majini wanawake kwa wanaume.
- wanafanya mapenz na wanazaa.
- wanakizazi na ummu yao (jamii) kama walivyo binadamu.
Hoja:-
Tunajua huwez kuwa Muislam kamili bila kufuata nguzo 5 za uislam.
Sina shaka na Shahada.
Ila je hizo nyingne majini waislam yanazifuata?.
- je majini wanafunga swaumu ya mwez wa Ramadhan?
- majini yanaenda Hijja?
- majini yanaenda Mira kumpiga mawe mwenzao?.
- majini yanatoa zaka?.
- majini yanabongoa kuelekea al kaaba?. Maana Quran imesema wana abudu.
- vizaz vyao vinasikiliza Quran msikitini?. (Au wana misikiti yao?) Au majini wana masheikh wao?. Au masheikh wanatoa mawaidha kwa majini na binadamu kwa wakat mmoja?.
Naomben mnieleweshe
Jagina
Covax
Al-mukheef
Kisai
CC
Kwa taarifa
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Hamatan
Fortyseven