Majina yenye sifa mbaya

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
IDD = mdokozi, jeuri, mbishi...
Tausi = mchoyo, maringo
Masanja = Kupenda wanawake sana
Masawe = Tapeli
Lutashobya = Majivuno, kiburi
Asha, Mariam,Neema = Ngono
 
IDD = mdokozi, jeuri, mbishi...
Tausi = mchoyo, maringo
Masanja = Kupenda wanawake sana
Masawe = Tapeli
Lutashobya = Majivuno, kiburi
Asha, Mariam,Neema = Ngono

Nakubaliana na wewe ila umesahau
Rose= ngono sana hawana no kwenye msamiati wao
Ashura = Ngono na uchafu
 
Adolf jeuri na mtu muasi!haji ata akiwa imamu usimuamini....lol....sussy lazima auze baaa na kitengo akipendacho counta.....selemani mzee mwenye busala zake....mkude mbishi mnyalu toz....bwashee wezi.....eric mwizi...faraji jeuli......saidi mpole....teddy mmbea hata awe mwanaume lazima awe mnafki....salehe muongo bora hata ya haji......denisi mshamba....god tapeli tu.shabani mchoyo......saida mlimbwende hasiye na makuu....frora hapendeki.....wille cha pombe........adamu mapepe hawa malaya kimya kimya.baadae nitaongezea wengine
 
Back
Top Bottom