Majina yenye sifa mbaya

Majina yenye sifa mbaya

Taratibu na kashfa hizo we mwana, ndo mlango wako wa kutokea huo sio??

Me popote pale palipo wazi natoka.
Tumeruhusiwa tuitumie miili yetu ipasavyo.
Hvyo how cam nidedi bila kutumia tundu zangu zote.
 
Hapa naona watu wengi wamepigwa vibuti hivyo wanaponda majina ya ma-x wao...
 
Naapa mbuzi aning?ate, akina Albini Zaidi ya % 50 ni wezi,nenda pale rombo,kuna jamaa wawili (Albini) wezi wa pikipiki nadhani kwa sasa wamepigwa marufuku kuingia Nairobi. Pale moshi na arusha nawafahamu albini wote wezi,. Kwa hawa nna ushaidi hawa jama ni wezi.

Albini ndo nn?
 
IDD = mdokozi, jeuri, mbishi...
Tausi = mchoyo, maringo
Masanja = Kupenda wanawake sana
Masawe = Tapeli
Lutashobya = Majivuno, kiburi
Asha, Mariam,Neema = Ngono

Hapo chini kwenye majina ya wanawakee umechemkaa vibayaaaaaaa......sio kosa lako lakini next time do some research first
 
Back
Top Bottom