Jamani Mimi majina ya kisauzi Afrka ya asili yananipa shida sana kutamka, yaani jina unasubiri anayejua kulitamka atamke kwanz ndio na wewe ufuatie, kama unafundishwa kusoma vile!, akikosea kidogo kutamka na wewe umekosea pia, hujui hata kulirekebisha!