Majina yanayoanza na Mwa

NNYAMBALA

Member
Mar 3, 2011
85
12
Kuna Jamaa wawili walihudhuria kikao cha maandalizi ya Harusi na Mwenyekiti akawaomba kabla ya kuanza kikao Wajumbe wajitambulishe ili wafahamiane.
Wajumbe wakaanza,
Mimi naitwa Mwaisapile wa loliondo,
Mwaijumba
Mwafilombe
Mwakinyamana
Mwambatata, na kuja Jamaa majina ya yalikuwa hayaanzi na Mwa lakini wakamua na wao waweke Mwa.
Akaanza kama ifuatavyo,
Katundu = Mwakatundu
Juma = Mwajuma
Haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom