Majina ya watu ambayo ni kitendawili kuyatamka mbele ya watu

Capogi jr.

Member
Feb 14, 2014
49
7
Majani duniani kuna majina mengi mpaka mengine unaogopa kuyataja mbele za umati wa watu kama tuntufye, nkundwe, angeposya, mwakatobe, tulinagwe.......kama mengne wayajua ebu tililika hapa watu wayaone......
 
Mbona umetaja majina ya kinyakyusa tu kwema?? Anyway ughonile
 
Back
Top Bottom