Majina ya watoto pacha.

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,697
1,962
Wakuu naombeni mapendekezo yenu kuhusu majina ya watoto pacha wakike mmoja na wakiume mmoja. Likianzia na herufi A nitapenda zaidi. Kichwani nafikiria kuwapa jina la Angel na Angelo, napenda kupata majina mengine zaidi. Yawe majina ya Kikristo.
 
Code:
Hahahaaaa! Haya bila shaka asili yake kwa Wanyakyusa. Unaonaje nikimpa la Atieno na Otieno?....LOL!
Hofu yangu wataitwa wahamiaji haramu maana kuanzia uncle toll aseme atam-hit mkuu, bwana bosi kachachamaa kweli!
 
~Adela na Adeline
~Aika na Akiri.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Hongera sana kwa kupata Vijana wawili
Mungu ni Mwema sana

wape haya majina:-

Paul
Paula
 
Code:
Hahahaaaa! Haya bila shaka asili yake kwa Wanyakyusa. Unaonaje nikimpa la Atieno na Otieno?....LOL!
Hofu yangu wataitwa wahamiaji haramu maana kuanzia uncle toll aseme atam-hit mkuu, bwana bosi kachachamaa kweli!

Hahahaaa! itabidi tuwatafutie uraia kwa jirani yetu Kenyata.
 
Wakuu nawashukuru kwa michango yenu. Nazidi kupata idea mpya ambazo sikuwa nazo.
 
...asamoah gian au anelka (men), anangisye,atupele,audry,aljazeera(gelo)...hongera na upate mapacha wengine mara tatu mfululizo...
 
Back
Top Bottom