Majina ya watoto pacha.

Ukishapata majina uyapendayo usisahau kufuatilia asili na maana zake....
 
Wakuu naombeni mapendekezo yenu kuhusu majina ya watoto pacha wakike mmoja na wakiume mmoja. Likianzia na herufi A nitapenda zaidi. Kichwani nafikiria kuwapa jina la Angel na Angelo, napenda kupata majina mengine zaidi. Yawe majina ya Kikristo.

Hongera sana haya ni majinaya kizungu lakini ni ya kikristo vilevile..

Jayden-son :meaning Jehovah has heard.
Janice-daughter: Meaning:Gift from God

Hongeren sana...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom